Nape akihutubia umati mkubwa

ok,nimeona na kujifunza kua inatakiwa ccm itembee na kundi lile la janguani
 
Kuwa ccm nikuwa jela, coz post kama hizi zinaumiza sana, ccm hakuna faraja wala wa kumfariji mwenzie, yamkini hata hivi vifo vingi vya ghafula vyatokana na pressure ya ccm inavyokufa
 
huu ndio umati mkubwa uliokuwa ukisikiliza sera za nape.

Aiseeeee! Sikujua kama ninawasumbua vichwa kiasi hichi...poleni sana!!! Ni akili tu na uzoefu ambacho mnapungukiwa! Badala ya kupoteza muda ku adobe tumieni muda kujifunza kusema ukweli
 
Halafu Nape kapata kichogo alipoenda Iringa?
Dis information at work!

unamsumbua kichwa nani?? Labda kwa uongo wako wa kuja kudanganya huku kwamba umefunika iringa ili hali ukweli unajulikana. Au unazungumzia ukweli gani hapa?? Tuwekee basi picha ambazo unahisi sio adobe.
 
anaweza kuja hapa na akakana kuwa sie yeye maana yule jamaa kwa kuruka ndio mwenyewe. Alishawah kukana id yake then baadae unaendelea kuitumia bila aibu.

Aiseeeee! Sikujua kama ninawasumbua vichwa kiasi hichi...poleni sana!!! Ni akili tu na uzoefu ambacho mnapungukiwa! Badala ya kupoteza muda ku adobe tumieni muda kujifunza kusema ukweli

Ameshakana, anadai picha imechakachuliwa. Huyo ndiye Nape!
 
Aiseeeee! Sikujua kama ninawasumbua vichwa kiasi hichi...poleni sana!!! Ni akili tu na uzoefu ambacho mnapungukiwa! Badala ya kupoteza muda ku adobe tumieni muda kujifunza kusema ukweli
Nape una akili za maiti. Hongera!
 
Aiseeeee! Sikujua kama ninawasumbua vichwa kiasi hichi...poleni sana!!! Ni akili tu na uzoefu ambacho mnapungukiwa! Badala ya kupoteza muda ku adobe tumieni muda kujifunza kusema ukweli

avatar11941_3.gif

Nape tusiende mbali mno, jaribu kulinganisha mvuto wako kwa wananchi na mvuto wa Kamanda Lema, nani zaidi? Jaribu kuwa mwazi. Wewe unatumia gharama kubwa kusafirisha wahudhuriaji wajae uwanjani wakati huyo mwenzako wanamfuata kwa gharama zao. Umepambanua Nape? Sikio la kufa halisikii dawa. Hatima ya kuwanunua watu imeshtukiwa na sasa wamefunguka akili. Watapokea pesa to cast ballot against CCM, utayakumbuka haya nisemayo, kwani hata Mwenyekiti wako alishatamka kwamba Huu ni upepo unaovuma, wimbi la kimbuka cha mageuzi ya kweli, hauwezi kupita bila kusababisha maafa kwa CCM, ipo siku utakumbuka kauli yangu.

Picha hiyo kadiri ya madai yako nikuhakikishie haijawa edited, ni original, wapi ulifanyika mkutano huo na mwanaCCM mimi sijui, ila kwa uzoefu wangu katika uwanja wa emerging katika fani mbalimbali kwa miongo kadhaa hiyo ni picha halisi. Ila sijui aliye kwenye picha ni nani, haonekani kama ni Nape, ila picha inaashiria hali halisi ya CCM kama wasemavyo kuhusu lugha ya Kiairishi, born in Uk, grow up in USA, get sick in china, died in India and berried in Africa. CCM nayo ilizaliwa, ikakua, inaugua sasa hivi ikisubiri kifo na hatimaye kuzikwa 2015

000000001chademaleo.jpg
attachment.php
 
Aibu hii ya ccm itaendelea nchi nzima kwenye mikutano ya Nape na Mafisadi wenzie na hatimae wataacha kabisa kufanya mikutano
 
Ameshakana, anadai picha imechakachuliwa. Huyo ndiye Nape!

Anapenda kukanusha ila hakuweza kuja kukanusha Kadi mpya tena zisizo hata na majina wala picha walizodai wanachama Wa vyama vingine walirudisha na kujiunga na ccm pale jangwani
 
huu ndio umati mkubwa uliokuwa ukisikiliza sera za nape.

Huyu Nape kwa sababu sijaona
-Kikofia chake kama mzee wa kikongo
-Round face yenye mkorogo
-Shingoni hana uzi
-Tumbo lake kama la lape lakini Nape
-Mdomo ulio tayari kwa matusi

Sijaona haya I need to be convinced hakika
 
Ameshakana, anadai picha imechakachuliwa. Huyo ndiye Nape!

Nape alishawahi kukataa "live" kua hakutuma post fulani hivi JF, na akaikana ID ya Nnauye JR, so hata huyo hapo juu aneifanya kukana kama anatumia ID ya Nnuye Jr basi sio yeye, kwani nape hatumii hiyo ID
 
Aiseeeee! Sikujua kama ninawasumbua vichwa kiasi hichi...poleni sana!!! Ni akili tu na uzoefu ambacho mnapungukiwa! Badala ya kupoteza muda ku adobe tumieni muda kujifunza kusema ukweli

Ungekija kivingine ningeshangaa sana. Unathibitisha kuwa mwalimu wangu wa logic hakuwekeza muda wake bure.
 
Back
Top Bottom