Nape airushia kombora CUF, Asema kususa kwao hakuzuii uchaguzi Z'bar

KWELI Kwa Mujibu Wa CCM Yao CUF Kugoma Kuingia Ktk UCHAGUZI BATILI, Haliwazuii Kufanya Uchaguzi Wao!!! NA Yeye Ni Mtu Wa Propaganda, Ndani Ya CCM, HIVYO Anatekeleza Majukumu Yake Kiutendaji!!! KWA Vile Katiba Ya Zanzibar Haijui, Inasemaje Kuhusu Muundo Wa SERIKALI Ya Umoja Wao Wa Kitaifa Ulivyo, Ni Haki Yake KUPAYUKA Tu!! ASUBIRIE Tu 20 March Ifike Aone Hilo Asemalo!!!! AMEZOEA Kupora USHINDI!!!
 
Nape na CCM yake kwa kujitoa ufahamu hawajambo.
Leo wanasimama kwneye majukwaa wakisema CUF ya nini kwenye uchauzi huo unaoitwa wa marudio Ilihali haikuvialika vyma vingine vya ushindani zaidi ya CUF kushiriki mazungumzo baada ya kuvurugwa kwa uchaguzi wa Oktoba 2015!
 
Sasa kwa nini anawarushia kombona wakati ndicho chama chake kinachopenda? Wanataka bao la mkono na ndilo hilo sasa watafunga kilaiiini!
 
Sasa kwa nini anawarushia kombona wakati ndicho chama chake kinachopenda? Wanataka bao la mkono na ndilo hilo sasa watafunga kilaiiini!

Nape Ni Mwongo Na Mzandiki, Ni Mamluki wa CCM Hata kwenye Nafasi ya Waziri wa habari wamemweka ili akandamize uhuru wa habari. Kwani upatikanaji wa habari ni silaha pekee katika Demokrasia.
Msikilize Nape akisema ati Lowassa alinunua Chadema Kutoka kwa Ndesamburo. Kama issue Ni Kusema Lolote basi Na Mimi Nilisikia Nape ni Gay na Ndio chanzo alikuwa akisafiri Nchi Nzima Na yule Mzee Nanilii. Mke wake alipogundua na Kulalamika yule mzee Nanilii akamtuliza Kwa kumpa Bilioni 5.
 
CCM irudie
Nape Ni Mwongo Na Mzandiki, Ni Mamluki wa CCM Hata kwenye Nafasi ya Waziri wa habari wamemweka ili akandamize uhuru wa habari. Kwani upatikanaji wa habari ni silaha pekee katika Demokrasia.
Msikilize Nape akisema ati Lowassa alinunua Chadema Kutoka kwa Ndesamburo. Kama issue Ni Kusema Lolote basi Na Mimi Nilisikia Nape ni Gay na Ndio chanzo alikuwa akisafiri Nchi Nzima Na yule Mzee Nanilii. Mke wake alipogundua na Kulalamika yule mzee Nanilii akamtuliza Kwa kumpa Bilioni 5.


Wow! Kumbe yeye kalifungia gazeti kwa habari za uongo kumbe hata yeye mwongo? kwa nini asidaiwe atoe ushahidi, na kama atakosa ushahidi afungiwe pia kuzungumza na vyombo vya habari?
 
kila nikijaribu kuifikilia zenji ya kesho nasikitika sana tunapokwenda sipo pazuri tusikubali hizi siasa za uchu wa madaraka zitatupoteza
 
Uchaguzi wa marudio ndo habare ya mujini wataisoma number
Nyie ma CCM fanyeni tu uchaguzi mjitangazie ushindi. Mbona mnawayawaya? CUF wameshasema hawatashiriki. Nyie mnataka kuwalazimisha hadi mnachapa karatasi za kura zikiwa na majina yao kana kwamba wanashiriki!
 
Kwa nini CCM wanashangilia matumizi mabaya ya fedha kama kweli hawahusiki na maamuzi ya Jecha.
Hivi si bora tu Dr. Shein aendelee na urais wake kuliko kulisababishia taifa hasara za kurudia uchaguzi!
 
Nape siyo wa kubeza hivyo. Anajua anachosema. Kumbuka ajenda za kujivua gamba ndani ya ccm, mchakato wa kuteua mgombea urais kupitia ccm, na sasa hili la kurudia uchaguzi znzbar. Anachosema ana hakika nacho. Subiri muda utasema.
 
Tusubiri tuona tunanjaa kisha tunajitia viburi kwa tajiri tajiri kasema mnajifanya viziwi wakati masikini mtakuja kula matapishi yenu kwa aibu mtakayo ipata usifikiria USA UK Ee na wengine hawajui kinacho endelea ngoja tshs utakapo poromoka dalla moja kua tshs laki moja ndio utakapo jua wewe ni kichwa ngumu au wao kichwa ngumu
 
Hawana inshu hao kama walishinda mbon wanaogopa kurudia mechi, warudi tu uwanjan kama vp
 
Unajua nini kinataka kufanyika huu uchaguzi wa marudio si kwamva ni uchaguzi .katika moja ya mbinu za kujiweja katika njia nzuri zaidi wakati wa kwenda kwenye compromize ya kweli ni kwamba lazima uwe umeshika mpini kwanza .

Yaani ni kwamba wanataka kwanza waikamate nafasi ya uraisi .na kama kutakuwa na mazungumzo basi wao hawataiachia nafasi ya uraisi ika wanaweza kuachia nafasi nyengine

Hii mbinu inaitwa jamata kwanza

Inatumiwa sana katika nchi za kiafrica .

Kumbukeni aliyosema balozi ali karume kwamba zanzibar zigombewe nafasi zote isipokua ya uraisi tu.kwa ufupi ni ubabe tu jamani lakinibtusubiri tuone
 
Ccm mbona mnaunya unya cuf umetowa tamko moja tu HATURUDII uchaguzi sasa ccm kila Siku wanatupa makombora Mara balozi Mahinga anawambia wafadhili waishawishi cuf warudie uchaguzi Nape unajeshi fanyeni uchaguzi tu musitufanyie kelele
Nape mwandosya ana hasira baada ya kukosa pesa za kuchakachua matokeo Zanzibar sasa kabakia akimezea mate na kuropoka Hovyo.
 
Sasa ulitaka kaulimoja wote
Kwani wanasoma kwenye kitabu!?.

Asie Muunga Mkono Rais Magufuli Akapimwe Akili
Itakuwaje chama kimoja kuwa na kauli tofauti tofauti kwa jambo moja? Chama ni vikao hivyo kauli huwa moja tuu zaidi ya hapo hilo ni kundi la walevi. Hayo ya kumuunga mkono huyo mtu wako ni yako, sie wengine sio wanafiki hivyo mtu akienda hovyo lazima tutasema tuu.
 
Back
Top Bottom