Naongea nanyi Wanawake/Wadada Mnapotongozwa

Movies Store

JF-Expert Member
Mar 17, 2022
288
935
Mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida na uamuzi wa kukubali au kukataa upo ndani yake,si lazima wala hamna mahali pameandkwa mwanamke ukitongozwa Ukubali kuwa na huyo mtongozaji.

Lakini leo napenda ongea na wanawake vigeu geu macho juu juu ambao wao vigezo vyao wanavijua wenyewe ni vipi kwa mwanaume wanaemtaka.

Unakuta mwanamke umemtongoza vizuri tu na yeye anakukataa vizuri tu tena anakukataa ki advanced level atakushusha akupandishe akwambie huna hadhi na maneno kibao sampuli hiyo.

Wanaume wengi sio ving'ang'anizi hasa wale wanaotongoza kwa lengo la kukuhitaji uwe mwenza wake na sio kukulala na kukuacha,ukimkataa anajisepea zake ataendelea tu kukupa salamu za hapa na pale mana kumkataa sio kuwa adui yake.

Sasa kuna hawa wanawake baada ya kuku kataaa huwa anaendelea kuchimba historia yako kama wewe ni nani,unafanya kazi gani,unaishi wapi,na mambo mengine...

Baada ya kuja kugundua kwamba aliemkataaa ndie aina ya wanaume anaowataka au anao wish kuwa nao Ataanza jipeleka kwa huyo mwanaume kujisalimisha,kujichekesha kila akikutana nae,nk nk

WANAWAKE

Kama unajijua uko na tabia hiyo nakuhakikishia hamtoacha waita wanaume ma mbwa,ma dog,ma ngurwe nk na majina yenu mnayowaitaga.

Mwanaume yeyote aliekutongoza ukamkataaa tena kwa dharau na baaadae ukajirudsha kwake Nawahakikishia akikukubali fahamu anataka akugonge akuache na wengi huwa wanasema na Mimba JUUU,baada ya hapo uta enjoy mziki.

Mahusiano mengi wanaume wapo katika revenge na ndio maana at early stages huwa mwanaume anaonekana mpole mtaratbu mnyenyekevu,lakini uhalisia ni kwamba mwanaume ataendelea kuwa hivyo kama hata wewe hukumsumbua,hukumdharau tangu kule mwanzoni.

Kuna wanawake anakukataaa lakini unahisi kama amekukubali, mwanamke unamtongoza anakukataa anakuelezea kwanini hakutaki au hakubali ombi lako anakufanya YES uone hukukosea mfata mtongoza. Anakukataa in soft language zaidi anajua kupooza hisia zako lakini MISIMAMO yake ni NO.

Lakini kuna hawa ngerekeche anakukataaa ki simba simba halafu baada ya kujua background yako anajirudsha My dear mtatiwa mimba sana,mtaachika sana,mtachitiwa sana lakini ukweli ni kwamba Ili mwanaume akuheshimu Kuwa makini sana na namna mnaanza nae tangu kule mwanzo ktk mahusiano yenu.

Kama ni NO basi NO yako iwe NO milele, kama ni YES usione aibu YES yako iwe YES tangu mapema,hamna mwanaume anataka kusumbuliwa na kuteswa teswa halafu badae ndio uje umkubalie,Atakunyooosha nakwambia.

Wanawake jifunzeni hekima ya kumkataa mwanaume na hakikisha hujengi uadui na huyo mwanaume aliekutongoza,play nice mfanye rafiki kabisa Huwezi JUA kesho yako huyo unaemkataa leo hata kama usipomtaka kimahusiano baadae Huwezi jua utamkuta wapi akawa na msaada gani katika maisha yako.

Msiwe vigeu geu wanaume wengi siku hizi wanaotafuta WAKE hawezi kukutongoza ki official,atapita njia local sana ni ngumu kujua kama ana sifa za kuwa mume kwako,usikurupuke kumkejeli mkaka/baba wa watu,Mkatae kisomi then usimpeperushe mbali na wewe.

NAWAPA SIRI WANAWAKE

Jifunzeni kuwa karibu na wanaume waliowahi waonyesha hisia zile za kweli,ni marafiki wazuri sana maishani mwenu,wana misaada mikubwa sana kwenu,mpenzi ulienae asikufunge ukakosa kujiongezea watu wazuri hapa duniani. Kuna KIFO mpenzi/mume wako anaweza Potea ghafla ukabaki huna rafiki wala pakuanzia.

Wanawake mpo katika eneo zuri sana la kufanikiwa kimaisha sema wengi wenuu mnaponzwa na Viburi,dharau,kujiona nyie ndio nyie Mtu anataka kukusaidia unahisi kama anakutaka kimapenzi,Fine kwani akikutaka kimapenzi shida iko wapi? ni lazima kwani? si una haki ya kumkatalia na kumwelewesha kuwa HUTAKI na haupo tayari? kwanini uwe tayari kumpoteza mwanaume kisa amejaribu kukutongoza?

Shauri lenu lakini nawahakikishia dunia tuliopo Mwanamke ukiwa na akili Kufanikiwa kimaisha una asilimia 91% za kufanikiwa,umaskini ubaki kwa wanaume wavivu lakini wanawake wenye akili Duniani ni kama Pepo yenu.
 
Hapo wataliwa kimasikhara
 
Waaambie hao 🤣🤣🤣🤣
 
Lakini leo napenda ongea na wanawake vigeu geu macho juu juu ambao wao vigezo vyao wanavijua wenyewe ni vipi kwa mwanaume wanaemtaka
Ndiyo maana wanaoujua ukweli wa suala hili wanakuambia "wewe niangusage tu, mbona ni sambi sako mwenyewe"
 
Mwanasheria wangu kasafiri nje ya nchi... Akirudi nitaandika ninacho kikusudia asanteni
 
Back
Top Bottom