Naona Yanga wameshavamia official pages za Al Hilal

Kilimbatz

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
4,334
5,838
Huu utaratibu naona unazidi kukita mizizi hapa nchini

Naona mpira sasa unachezwa mtandaoni hadi uwanjani

Tuliona kwa Zalan,je Wananchi watafaulu na kwa hawa wazee wa Sudani!?

Muda ni mwalimu mzuri
Screenshot_20220919-205747_Instagram.jpg
 
Sijui kwanini mechi ya yanga na Al Hilal inawaangaisha zaidi mashabiki wa simba!
Unajua Yanga hajapoteza mechi ya kimashindano Kwa mda mrefu sana na haijulikani lini atapoteza, kisaikolojia Mashabiki wengi wa Simba wanajua timu waliyonayo Haina uwezo wa kuifunga Yanga Sasa wanajaribu kutafuta timu ambayo itaifunga Yanga Ili nyoyo zao zipoe.
Wana bahati mbaya kwakua Yanga imejiandaa vizuri na haitakua rahisi kupoteza mchezo hivi karibuni.
 
Kipigo cha "nje ndani" na River united mkuu umesahau? sema Yanga hawajapoteza mechi kwenye ligi - Tanzania bara.
 
Unajua Yanga hajapoteza mechi ya kimashindano Kwa mda mrefu sana na haijulikani lini atapoteza, kisaikolojia Mashabiki wengi wa Simba wanajua timu waliyonayo Haina uwezo wa kuifunga Yanga Sasa wanajaribu kutafuta timu ambayo itaifunga Yanga Ili nyoyo zao zipoe.
Wana bahati mbaya kwakua Yanga imejiandaa vizuri na haitakua rahisi kupoteza mchezo hivi karibuni.
Mmeacha kupokea wageni eapiti?
 
Yanga anaanzia ugenini ambako hawezi kushinda iko wazi yaani atapoteza...ILA AKIRUDI KWA MKAPA ANAWEZA KUSHINDA CHA KUFANYA AJITAHIDI SAANA ATOKE NA GOLI HATA MOJA PALE SUDAN LITAMSAIDIA AKIJA KWA MKAPA
 
Ni wazo zuri

Kikubwa Yanga wajitaidi mechi ya nyumbani ashinde ushindi mkubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom