Naombeni ushauri ndugu zangu!!

duh pole saana
kwani talaka unaionaje?

otherwise subiri gonjwa....

weka mgomo wa kumpa tunda ndani, tafuta mtu nje huko nawe awe anakutungua,uhusiano wenu ubaki kwenye kulea watoto na majukumu mengine ya nyumbani
 
Sikiliza dada yangu,hakuna namna ya kusolve tatizo lako hilo zaidi ya kuendelea kuwa mvumilivu huku ukimwomba Mungu. We usimfanyie visa vyovyote bali zidisha mapenzi kwake naye atabadilika tu. Kuachana sio solution nakwambia.
 
khaaaaaaaaaa!!!!!!

Kama unajipenda na kujithamini, unawapenda wanao na kujithamini.....

Ondoka hapo haraka sana,

huyo mwanaume chovyachovya hakufai....
 
Back
Top Bottom