Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 955
Habari za jioni wana JF,
Kwa zingatia hali halisi ya mazingira nimejibanabana katika mihangaiko yangu ya muda mrefu nimepata fedha kiasi fulani cha kununua kagari ka kutembelea ili kanisaidie mimi na familia yangu ya watu 4.
Naombeni uzoefu wenu juu ya hizi mini car. Je ni magari yapi ni imara na yanatumia mafuta kwa kiasi kidogo na spare zake zinapatikana kwa urahisi?
Natanguliza shukrani kwa ushauri
kabla ya kununua angalia baadhi ya mambo kama, uchumi wako ukoje, mazingira unayoishi, mazingira unayopendelea kwenda, kazi unazozifanya, mahitaji hasa ni yapi, na je gari hilo ni kwa matumizi ya kipindi gani