Naombeni nipokeeni

Mangi shangali

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
533
817
Habari zenu watanzania wenzangu.

Kwa jina naitwa mangi shangali,Leo hii nimejiunga na jamii forum,mtandao wa kijamii mkubwa kuliko yote Tanzania,naombeni mnipokee.

Pia naombeni mnipe muungozo ulio sahihi ili kuepusha ugomvi na watu humu.

Natanguliza shukrani kwa uongozi wote wa jamii forum hamakika Leo hii nimetimiza lile shauku langu la kujiunga na mtandao wa watu wenye akili zaidi tanzania.

Nimekuwa mdau wa kufuata nyuzi mbalimbali humu,ndo kitu kilichonifanya nipende kujiunga na jamii..
Mangi shangali....
Machame Republic..
Vitukuu vya mamangiii...
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Mbheghe ipo niifwate......?
 
Back
Top Bottom