Naombeni mnishauri kwa hili

Soma but this time make sure unafaulu maana elimu imerahisishwa nakuona ukiwa na 1 nzuri tu ukikosakosa sana una 2, kwa hio nenda shule usiangalie umri wako tena anza process zako za awali mapema mda ndio huu hakuna kulaza damu
 
Nina miaka 36, mama wa watoto 2, elimu yangu form 4 nilisoma medical attendant ambapo nimefanikiwa kufungua duka la dawa.

Naombeni mnishauri nataka nianze kusoma mwaka huu kurudia masomo ya O level Ili nijiandikishe kufanya mtihan wa form 4 mwaka 2025, Ili niende nikasome nurse niweze kupata ajira. Nilimaliza form 4 mwaka 2004

Je kwa umri wangu itanisaidia? Naomben mawazo yenu
😁😁😁 endelea na shughuli nyingine, nursing tunataka vijana pure wenye One za PCB!
 
Nina miaka 36, mama wa watoto 2, elimu yangu form 4 nilisoma medical attendant ambapo nimefanikiwa kufungua duka la dawa.

Naombeni mnishauri nataka nianze kusoma mwaka huu kurudia masomo ya O level Ili nijiandikishe kufanya mtihani wa form 4 mwaka 2025, Ili niende nikasome nurse niweze kupata ajira.

Je kwa umri wangu itanisaidia? Naomben mawazo yenu.
Aise mm sikutishi ila cha msingi kama una ADDO na umiliki wa hilo duka la dawa ebu endelea na kazi ya duka na usimamie vizuri hiyo biashara utanikumbuka baadae kwa kwa sababu itaingiza kipato kikubwa sana kuliko unavyodhania kuajiliwa serikalini.

Swala la kuajiliwa n black zone my friend hata kama ukibahatika kuajiriwa ujue umeingia kwenye kifungo huru.
Amini amini nakuambia,
 
Nina miaka 36, mama wa watoto 2, elimu yangu form 4 nilisoma medical attendant ambapo nimefanikiwa kufungua duka la dawa.

Naombeni mnishauri nataka nianze kusoma mwaka huu kurudia masomo ya O level Ili nijiandikishe kufanya mtihani wa form 4 mwaka 2025, Ili niende nikasome nurse niweze kupata ajira.

Je kwa umri wangu itanisaidia? Naomben mawazo yenu.
Achana na kusoma, una duka la dawa? Pambana kuendeleza duka lako easy tu.
 
Back
Top Bottom