Naombeni mawazo yenu jamani JF

Inaonekana kwa namna moja ama nyingine mmejiingza kwenye ugomvi wa wazazi wenu na hilo ni kosa kubwa sana! Na kwa kiasi kikubwa mmekwishajiweka upande mmoja wa mzazi mojawapo hili nalo ni kosa kubwa la pili! Mungu awasaidie ...............mnahitaji maombi!

Kama ulivyosema labda maobmbi,kwa watoto amabo nawao family zao zimekubwa na hali kama hizi za ugomvi ni dhahiri wataungana na mimi kuwa there is no way watoto mkaawa hamhusiki katika udomvi wa wazazi, there is no no any way ukaona mama au baba kaumizwa usihusike there is unless si wazazi wako inauma sana na nihali ambayo kama wewe haijakupata you will never fill it
anyway asnte kwa ushauri na maombi yako pia
 
asnteni kwa wote mliochangia
mawazo yenu yamenipa moyo wa kusonga mbele
natumai am oky now kuliko jana usiku na leo asubuhi
thanks once again the great thinkers team
 
Back
Top Bottom