Naombeni mawazo yenu jamani JF

shalis

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
270
64
Wazazi waligombana ,mama akadai talaka yake at the time wamegombana baba alichukua uamuzi wa kuhama nyumbani na kwenda kuishi kwingine.
Sisi (4 child)tulibaki na mama nyumbani,mama alienda mahakamani kufungua kesi akidai apewe sehemu ya mali (maana kugawana nyumba na eneo )kesi ikiendelea mimi na dada yangu mungu akasidia tukapata kazi kwa hivyo tukachukua jukumu la kujenge sehemu nyingine(kwanza tuliona ile nyumba ni ya zamani na kunamgogoro) ambapo kile kiwanja alikuwa amekinunua mama long time ago at the same time tukiwa sapport wadogo zetu wawili masomo na malezi kwani mama aliacha biashara na baba alikuwa haleti mahitaji home (lastborn kwa sasa yupo form 2)
Siku zina kwenda nyumba tunayojenga ipo kwenye finishing na wakati huo huo mama naye anakazana na kesi yake mahakamni .Hukumu imetoka kuwa lile eneo ambalo wazazi walijenga pamoja na nyumba linauzwa .
Ninamawazo sana kwa kweli naombe ushauri wenu nifanye nini maana je mahakama haikuangalia watoto?na je kwa sasa watoto kwao ni wapi? Kweli uwezekano wa kuishi na kuwatunza wadogo zetu tunao ila where is our home?
Je mama yupo sahihi at the time sisi tumesha muamdalia makoa mapya na waogo zetu tuna wajali kwa nguo mpaka ada? Kwa nini ameshinikiza hilo ?
Inaniuma mno siwezi kufanya kazi vizurikwa siku ya leo naombeni japo mawazo how can I handle this situation ??
 
Pole sana ila hata cjajua unahitaji ushauri wa vipi. Ni kwamba tukushauri kama mahakama ipo sahihi au la? Unataka ushauri wa kumcovice mama yako asing'ang'anie hiyo sehemu au? Kifupi cjaelewa elewa.
 
Pole sana Shalis
Ngoja nifikilie kwanza maana hapa hawa wazazi wenu naona wote wana makosa
 
Pole sana ila hata cjajua unahitaji ushauri wa vipi. Ni kwamba tukushauri kama mahakama ipo sahihi au la? Unataka ushauri wa kumcovice mama yako asing'ang'anie hiyo sehemu au? Kifupi cjaelewa elewa.

Mie nilivyomwelewa Huyu mtoa mada anasikitika kwa nini nyumba iuzwe wakati kuna watoto ina maana mahakama haiangalii swala la watoto wakati wa kufanya maamuzi.
 
Sijakuelewa ndugu yangu unataka nini..
Sioni tatizo lolote kwa kesi hiyo, suala ni kuendelea na mipango unayoendelea nayo ya ujenzi.
 
Mimi nadhani watoto mngehusishwa katika kesi hiyo mambo yangekuwa magumu zaidi, kwani huenda hata ambao huwafahamu wangeibuka nao kudai ni watoto wa baba yako...
 
Mi nimekuelewa, unataka tukupe idea ya namna gani hilo eneo lisiuzwe, sasa fanya hivi, mshauri mama ajifanye mnyonge aachane na mambo ya kesi.
 
watoto mshakua malizieni kujenga nyumba mpya mumtunze mama yenu na wadogo zenu, kwa mali ya mama na baba waachieni wenyewe wasolve tatizo lao haliwahusu........... hamjui walijinyima na kujitoa kivipi, na hamjui kwa nn amesisitiza hilo labda kuna analolijua/aliloliona nyuma ya pazia
 
Mie nilivyomwelewa Huyu mtoa mada anasikitika kwa nini nyumba iuzwe wakati kuna watoto ina maana mahakama haiangalii swala la watoto wakati wa kufanya maamuzi.
nimuelewa hvyo ila nikahisi nimemuelewa tofauti. Kama ni hvyo nafikiri suala lake limekaa kisheria zaidi na apeleke thread jukwaa la sheria.
 
Pole sana ila hata cjajua unahitaji ushauri wa vipi. Ni kwamba tukushauri kama mahakama ipo sahihi au la? Unataka ushauri wa kumcovice mama yako asing'ang'anie hiyo sehemu au? Kifupi cjaelewa elewa.

yani hata idees to jinsi ya ku handle hiyo ishu kwanin pauzwe na watoto bado wapo tena some are under 18
 
nimuelewa hvyo ila nikahisi nimemuelewa tofauti. Kama ni hvyo nafikiri suala lake limekaa kisheria zaidi na apeleke thread jukwaa la sheria.
nadhani ni kweli maana kule sheria zinajulikana
asnate kwa wazo lako
 
Shalis Omba Mods wakuhamishie hii thread jukwaa la Sheria....

utapata constructive thots huko... mana wao watakueleza kwa kutumia

na kuzingatia Law... Pole saana na haya matatizo....
 
watoto mshakua malizieni kujenga nyumba mpya mumtunze mama yenu na wadogo zenu, kwa mali ya mama na baba waachieni wenyewe wasolve tatizo lao haliwahusu........... hamjui walijinyima na kujitoa kivipi, na hamjui kwa nn amesisitiza hilo labda kuna analolijua/aliloliona nyuma ya pazia

kusema kweli badili tabia hata mim nilikuwa nimekaa kimya na kumsisitiza dada hili tuliache ila yeye anasisitiza kwenda mahakamni na kupinga kesi thts wahy nikasema niwaulize wenzangu kwani yamenielemea
asnte kwa ushauri wako
 
Shalis Omba Mods wakuhamishie hii thread jukwaa la Sheria....

utapata constructive thots huko... mana wao watakueleza kwa kutumia

na kuzingatia Law... Pole saana na haya matatizo....

sijui jinsi ya kuwaomba can you pleas help.
asnte mamuy yaani hata sielewi kwa kweli leo nina mawazo sana ukizingatia dada yeye amepanic mno kiasi cha kutaka kufungua kesi ya kupinga hukumu ,
kinachonipa wakatimgumu ni kuwa tayari tumesha weka barries sisi na baba then tukipinga kesi tutakuwa na barries sisi na mama
asante sana kwa ushauri
 
Kwa suala hili, nafikiri ushauri wa kisheria zaidi unahitajika.......tafuta msaada wa kisheria. Pole sana
 
Wazazi waligombana ,mama akadai talaka yake at the time wamegombana baba alichukua uamuzi wa kuhama nyumbani na kwenda kuishi kwingine.
Sisi (4 child)tulibaki na mama nyumbani,mama alienda mahakamani kufungua kesi akidai apewe sehemu ya mali (maana kugawana nyumba na eneo )kesi ikiendelea mimi na dada yangu mungu akasidia tukapata kazi kwa hivyo tukachukua jukumu la kujenge sehemu nyingine(kwanza tuliona ile nyumba ni ya zamani na kunamgogoro) ambapo kile kiwanja alikuwa amekinunua mama long time ago at the same time tukiwa sapport wadogo zetu wawili masomo na malezi kwani mama aliacha biashara na baba alikuwa haleti mahitaji home (lastborn kwa sasa yupo form 2)
Siku zina kwenda nyumba tunayojenga ipo kwenye finishing na wakati huo huo mama naye anakazana na kesi yake mahakamni .Hukumu imetoka kuwa lile eneo ambalo wazazi walijenga pamoja na nyumba linauzwa .
Ninamawazo sana kwa kweli naombe ushauri wenu nifanye nini maana je mahakama haikuangalia watoto?na je kwa sasa watoto kwao ni wapi? Kweli uwezekano wa kuishi na kuwatunza wadogo zetu tunao ila where is our home?
Je mama yupo sahihi at the time sisi tumesha muamdalia makoa mapya na waogo zetu tuna wajali kwa nguo mpaka ada? Kwa nini ameshinikiza hilo ?
Inaniuma mno siwezi kufanya kazi vizurikwa siku ya leo naombeni japo mawazo how can I handle this situation ??
Pole sana kaka/dada Shalis........

Nakushauri punguza kwanza munkari manake naona kama una mumnkari mpaka basi........

Ningekupa ushauri kama ningejua we ni mtoto wa kiume au wa kike...
 
sijui jinsi ya kuwaomba can you pleas help.
asnte mamuy yaani hata sielewi kwa kweli leo nina mawazo sana ukizingatia dada yeye amepanic mno kiasi cha kutaka kufungua kesi ya kupinga hukumu ,
kinachonipa wakatimgumu ni kuwa tayari tumesha weka barries sisi na baba then tukipinga kesi tutakuwa na barries sisi na mama
asante sana kwa ushauri

Usijali dear... Nakusaidia kwa Mods... muda sio mrefu naamini watafanyia kazi....

Nishapitia mambo ya misuko suko ya nyumba na related issues hivyo naelewa

kabisa ni jinsi gani inawaumiza.... na jinsi gani mtapoteza pesa nyiiingi unnecessarily....

Pamoja saana....

ADI
 
asante dear, yaani hata mpaka nakonda ukizingatia all i make for the job ni kusaidia home na mimi hata siendelei then home kwenyewe wzazi hawapo sawa its real frustrating hata sijui mungu tu ahusike
 
Back
Top Bottom