Naombeni kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Freelancer

Jan 26, 2019
67
86
Habari,

Wanajukwaa naomba kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Uwakala wa kusaji laini (Freelancer).

Je, INALIPA? au ni kupoteza muda bila mafanikio kama ndiyo ushawahi kuona mtu kafanikiwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom