naombeni dua/sala zenu!

Umeamua jambo jema ingawa umeforciwa kufanya vle hyo ndo nafas ya upendo imeonekana ila yakiwa poah au laaa tujulshane tujue nin cha kukuombea tena

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Leo naenda hospitali kupima miwaya.Sina jinsi kuna mtu nimekuwa nikimpiga chenga mwisho kanambia ama nipime au mi na yeye basi.Jaaaaaasho linantoka ndo najiandaa kwenda TMJ hospital,mkiona kimya..............

Alaaaaa kumbeeeeeeeee
 
hivi kuna watu ambao bado wanaogopa kupima,
kwani kuwa na virusi ndo nini, maisha yatasonga tu
wala usiwe na wasiwasi, ila kwa Bishanga mmmh sijui
mtu unafanya hata kwa macho, sijaamini kama utakuwa salama.
 
usitake kujua tulielekea wapi, objective ilikuwa kumsaidia mtu kupima. yaliyoendelea ni off topic. imekaaje hii mkwe?

Ayaaaa.... kumbe? mbona hukuniambia?

BTW mmeo angekukuta unapima na lidume kingetokea nini?

Out Of Topic: Ni msukumo gani ulikufanya mke wa mtu utake "kumsaidia" njemba kupima ngoma?

Ngoja nijirudie zangu mapangoni Tora Bora.
 
hommie unaweza kunambie upo mapango yepi?
 
Ayaaaa.... kumbe? mbona hukuniambia?

BTW mmeo angekukuta unapima na lidume kingetokea nini?

Out Of Topic: Ni msukumo gani ulikufanya mke wa mtu utake "kumsaidia" njemba kupima ngoma?

Ngoja nijirudie zangu mapangoni Tora Bora.
mkwe usipotelee sana huko mapangoni.
hubby wangu anaijua hii stori, na huyo mtu pia anamjua...... anyway, nyumbani kwangu naaminika 100% na kwa kweli sitaki kuupunguza huo uaminifu hata kwa 0.0001%. najitahidi sana kuwa muwazi kwa kila jambo ninalolifanya.
msukumo........... hata sijui niseme nini, niliamua tu. hata wewe mkwe kama unaogopa naweza kukupeleka na tukapima wote, niambie tu unataka lini twende
 
Kwa heshima na taadhima natangaza rasmi kuwa uzi huu umefungwa.
Niufunge kwa kuwaomba wana CC wenzangu kila mmoja wetu ajiulize: Tuko wangapi?
 
Hapa hakitaeleweka mpaka utuambie majibu yalikuwaje. Ulilianzisha ili iweje? TOA MAJIBU NA UYASKAN UYATUPIE HAPA. ALAA!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom