naombeni dua/sala zenu!

chezea kupima weweeeeee Erickb52
mtu na ujanja wake wote uliisha. yaani mpaka leo akikumbuka ananiuliza nilifanyaje mpaka nikamfikisha kupima..
kuanzia siku hiyo tukibishana kitu tu anamaliza mjadala mapema maana anasema naweza kumshinda, lol!

Mi nataka kujua tu baada ya kupima na hiyo njemba mkajikuta negative mlielekea wapi?

Nimkute mke wangu anaenda kupima na njemba, hata kama ni mjomba wake, talaka itamsubiri mlangoni. Haki ya Mungu naapa!
 
Last edited by a moderator:
Haya bhana.
Ila ukweli utabaki kuwa Kupima Ngoma ni Soo.
Hata uwe na Mwili kama wa Pepekale,Angaza panatisha Young Master.
Me hata uniwekee Mtutu,sithubutu.

Mwenye Jeuri ya kunipima mimi ODM ni Yesu pekee. Tena naye atanipimia mochware nikiwa nshaikabizi roho yangu takatifu isiyo na dhambi kwa Ziraili.

Watu wote na mseme Amina.
 
Last edited by a moderator:
Mi nataka kujua tu baada ya kupima na hiyo njemba mkajikuta negative mlielekea wapi?

Nimkute mke wangu anaenda kupima na njemba, hata kama ni mjomba wake, talaka itamsubiri mlangoni. Haki ya Mungu naapa!
usitake kujua tulielekea wapi, objective ilikuwa kumsaidia mtu kupima. yaliyoendelea ni off topic. imekaaje hii mkwe?
 
Nilituma shushushu wangu hapo TMJ anasema Bishanga kakimbia majibu then akarudishwa na walinzi, wakampeleka kwenye majibu ya damu na baada ya majibu ametoka akikoswakoswa kugongwa na magari. He's totally confused. Kama vipi aje na ascan majibu na atupie hapa. Note JMT Hospital, Tarehe ya jana/leo, jina hata akificha no problem, hivyo ndio vigezo vya hayo majibu kama atatuma (which najua he won't)
 
Last edited by a moderator:
heri kuingia kwenye domo la mamba kuliko kupokea majibu ya kipimo,nimeahirisha bana kuchukua majibu,nitakuja kesho,ngoja nikalale.
 
Nilituma shushushu wangu hapo TMJ anasema Bishanga kakimbia majibu then akarudishwa na walinzi, wakampeleka kwenye majibu ya damu na baada ya majibu ametoka akikoswakoswa kugongwa na magari. He's totally confused. Kama vipi aje na ascan majibu na atupie hapa. Note JMT Hospital, Tarehe ya jana/leo, jina hata akificha no problem, hivyo ndio
vigezo vya hayo majibu kama atatuma (which najua he won't)


Mkuu hapo hana ujanja wa kukwepa...
Tuone kama kweli alichukua majibu na yalikuwaje lo!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom