Naombeni CV ya Kapteni Komba, wa TOT

Tatizo lako you are in denial na unatafuta visingizio kuwa WATANZANIA SIO WALIVYO.
Am deniel nini mzee wangu?? Sasa mbona wanafanya vitu vya ajabu sana, Ni wakina nani waliingia mikataba feki katika taifa letu?? Je sio hawa wasomi?? Nakataa nini??
 
Mhhh kwenye CV yangu hakuna nafasi ya Primary wala secondary school....vicertificate na na course fupi fupi siweki maana naweza kuwa na CV ya page 20!

Kwani, urefu wa cv yako,ndiyo utendaji wako mzuri wa kazi.
We si ni yule msanii tu.
 
Ana phd ya mipasho alipata oxford, na phd ya kutembea na vitoto vidogo aka kina lulu aliipata kambodia, alitunukiwa u-profesa na chuo kimoja marekani ya majungu na kubwatuka ovyo bungeni.
 
Mwalimu wa Grade A (certificate) na vyeti vidogo vya sanaa. Baada ya kufundisha miaka kadhaa aliajiriwa jeshini kutokana na umahiri wake wa kuimba na kukata mauno. Hapo ndipo alipoanza kupanda vyeo na kufikia u kapteni.

Kwa kifupi huyo ni askari asiyeweza ku crow...
 
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1432.jpg
First Name:Capt. John
Middle Name:Damiano
Last Name:Komba
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mbinga Magharibi
Political Party:CCM
Office Location:P.O.Box 60161, Dar es Salaam
Office Phone:+255 754 284527
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:jkomba@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth18 March 1954
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Lituhi Primary SchoolPrimary Certificate19631970PRIMARY
Songea Boys' Secondary SchoolO-Level Education19711974SECONDARY
Kleruu Teachers' Training CollegeCertificate (Teaching)19751976CERTIFICATE
Cadet Training Unit - MonduliDiploma19781979DIPLOMA
Magdeburg Path - GermanyDiploma (Political)19881990DIPLOMA
Washington International UniversityBA(Political)20062008GRADUATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mbinga West Constituency20052015
Chama Cha Mapinduzi, CCMChief Culture1992Todate
Tanzania One Theathre (TOT)Executive Director19922005
Tanzania People's Defence ForcesArmy Officer19781992
Ministry of EducationTeacher Grade III19771978
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee, NEC1987to date
 
Degree famba hiyo,hizi si ndio zile wanaenda kushangaa kule wanafoji vyeti wakirudi eti degree holder WIZI mtupu

Magdeburg Path - GermanyDiploma (Political)19881990DIPLOMA
Washington International UniversityBA(Political)20062008GRADUATE
 
We angalia na sikiliza anavyochangia mjengoni utajua tu cv yake ni ya namna gani kwani debe tupu haliachi kutikisika!
 
[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1432.jpg
First Name:Capt. John
Middle Name:Damiano
Last Name:Komba
Member Type:Constituency Member
Constituent:Mbinga Magharibi
Political Party:CCM
Office Location:P.O.Box 60161, Dar es Salaam
Office Phone:+255 754 284527
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:jkomba@parliament.go.tz
Member Status:Current Member
Date of Birth18 March 1954
EDUCATION
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Lituhi Primary SchoolPrimary Certificate19631970PRIMARY
Songea Boys' Secondary SchoolO-Level Education19711974SECONDARY
Kleruu Teachers' Training CollegeCertificate (Teaching)19751976CERTIFICATE
Cadet Training Unit - MonduliDiploma19781979DIPLOMA
Magdeburg Path - GermanyDiploma (Political)19881990DIPLOMA
Washington International UniversityBA(Political)20062008GRADUATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Mbinga West Constituency20052015
Chama Cha Mapinduzi, CCMChief Culture1992Todate
Tanzania One Theathre (TOT)Executive Director19922005
Tanzania People's Defence ForcesArmy Officer19781992
Ministry of EducationTeacher Grade III19771978
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee, NEC1987to date

Duu...

http://www.washint.edu/en/

-no classroom
- no deadline
- low fixed tuition.

Since 1994

Komba acha uzushi, bora ungebaki na diploma yako ya ualimu..
 
hapo BA ya politics nina mashaka sana..wanajifungiaga chumbani na computer akitoka nje ana degree
 
Mbona hata akina arnold walikuwa wasanii?tatizo liko wapi.Fuatilia hata cv za akina bii gate.Issue ni nini hasa elimu au utendaji kazi?Kuna maprofesa lakini ni mizigo.mimi cha msingi kwangu ni utendaji kazi tu.haya mengine ndugu yangu ni majungu hivyo wewe ndo mpiga majungu na unaonekana una chuki binafsi na john komba
 
Back
Top Bottom