Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 77
- Thread starter
- #81
Naona umeamua kumpigia Kampeni Mbunge wako na pia itakuwa vizuri sana kama yeye mwenyewe akija hapa na kuongea au kujitetea mwenyewe na sio wewe okaynyie mnaomsema mbunge wetu wa mbinga ndio mna matatizo makubwa kuliko yeye!!hivi nani katika nchi hii asiyejua mchango wa Komba katika kuhamasisha jamii kwa kutumia sanaa? hizo masters zenu si ndo zimetufikisha hapa!!Au hamjui hapa tulipo kiuchumi,kijamii na kisayansi ni majumuisho ya uwezo wetu wote Watanzania katika kukabiliana na changamoto zetu??tunatumia page nyingi kumsema mtu mmoja huku sisi wenyewe michango yetu katika jamii ikiwa haijulikani kabisa!!!c'on guys is an insult to democracy itself...