Naomba Uzoefu wenu, Umekutana na rafiki yako wa kiume wa zamani, Moyo unapasuka paaaaah

Yaani kwa jinsi ulivyoandika.........

Yaani mi nakushauri tu mfungukie kama ulivyofunguka hapa......

Yanini kujitesa bana. Na akikukuta huna bikira mtajiewambie kabisa aliyekubikiri ili akuone ulivyo mwadilifu.

Waishwa mshiki?

Mmmh ushauri wako babu umejaa mafumbo sana. Anyway moyo unanipasuka huu jamani
 
Nashukuru kwa maombi, sasa umri ndio unachangia hayo hapo mkuu. Mmmh wa maisha hapo sidhani sana.

unajua umeiwasilishwa kwa lugha ya kiblongsblongs a.k.a maskani, by the way mzuka sana,pamoko mwana.
 
  • Thanks
Reactions: LD
Kwani shosti huna wako kwa sasa? sema na moyo wako kupasukwa na moyo unapokiona kizuri nilazima,haimanishi ndio
ukifukuzie na ukiwa kama mwanamke ebu ijue thamani yako dada, huyo jamaa hawezi kua hana mtu kwa sasa la unataka
akufanye farasi akupande ashuke muanze mambo yakuzimiana cm usiku BP ipande nakushuka endelea kuendekeza moyo....
 
  • Thanks
Reactions: LD
Mapenzi...Mapenzi...ni Complex number!...Tukiwa form 2...Tulifundishwa hakuna square root of a Negative number lakini
Tulipo fika form 6 ktk advance maths tulifundishwa there is square root of a negative number but ony add "i" to transform it
into COMPLEX NUMBER....kumbe basi hata mapenzi yatupasa kuyachukulia kwa ukawaida2 na sio kupelekwa na hisia
Dada angu jaribu kujiCONTROLL jaribu kuSet vimtego vya AKILI kwa huyo jamaa utagundua kama yupo 4REAL"
 
  • Thanks
Reactions: LD
Mwombe mkumbushie hujui mahawala siku zote hawaachani?

Ha ha ha hakuna cha kukumbushia Fidel, sasa tuanze kuandikiana barua na kupaka marashi au. Hakuna kilichofanyika cha kukumbushia zaidi ya hicho.
 
Nashukuru kwa maombi, sasa umri ndio unachangia hayo hapo mkuu. Mmmh wa maisha hapo sidhani sana.

unajua umeiwasilishwa kwa lugha ya kiblongsblongs a.k.a maskani, by the way mzuka sana,pamoko mwana.
 
Ha ha ha hakuna cha kukumbushia Fidel, sasa tuanze kuandikiana barua na kupaka marashi au. Hakuna kilichofanyika cha kukumbushia zaidi ya hicho.

Mtima si umepasuka paaaaaaaaaaaaa basi mkumbushie ya zamani maana ni dhahabu
 
  • Thanks
Reactions: LD
Bint!

Naoma kabisa ktk maelelzo yako, huyo ni Roho Mtakavitu na wala si kingine, maana umeenda mbali as if aliishawahi kukutokea.

Subiri muonane, muongee mawili matatu then ndio ufunguke. Wewe hata hujaulizwa tayali ushatoa kufuli?
 
bint ana mchecheto utafikiri anaongozwa kwa stimu ya weed
 
  • Thanks
Reactions: LD
Bint!

Naoma kabisa ktk maelelzo yako, huyo ni Roho Mtakavitu na wala si kingine, maana umeenda mbali as if aliishawahi kukutokea.

Subiri muonane, muongee mawili matatu then ndio ufunguke. Wewe hata hujaulizwa tayali ushatoa kufuli?

Mmmh hujaelewa vizuri.....urafiki ulianzia mbali kaka/dada, yani kwa kuwa tu nilikuwa na roho mtakatifu na niliamua kuwa mtawa wa kujitegemea, Ukaishia kwenye makaratasi hadi tulipomaliza sekondari...yeye akakwe pipa. Mie nikabaki bongo. Sasa ndio tumeonana tena. Tunakumbuka tulivyokuwa tunaandikia na kuchoroeana maua. Sasa si tumeshakuwa wakubwa. he......MOyo unanipasuka
 
Back
Top Bottom