Naomba ushauri

G70

JF-Expert Member
Jul 13, 2022
1,109
2,252
Nimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine.

Mwanaume wangu ni mwepesi sana maishani - mwepesi sana kwangu - ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, na hanitimizii kabisa mahitaji ya mwili wangu, wakati wa tendo la ndoa humaliza baada ya dakika mbili tu kisha anageukia upande mwingine na kulala fofofo na kuniacha na nyege zangu nikiteseka.

Nikiwa nakereka na mwanaume wangu, ametokea mkaka huyu na kunivuruga kabisa, kanifanya nimpende sana bila masharti. Ananivutia sana kwa kweli, na anajaribu kunifanya niwe naye kila saa ni mcheshi na mchangamfu mno kwangu.

Ana sauti tamu na kila akiongea huwasha moto ndani yangu.

Shida ipo hivi, huyu mkaka ameoa. Ila bado sijalala naye; na yeye ni mchungaji wa kanisa.

Nawaza nifanyeje ili nisiingie katika dhambi ya kuzini na huyu pastor maana amenishika pabaya.

Naomba ushauri wako tafadhari.
 
JamiiForums-751800932.jpg
 
Mmh!
 
Back
Top Bottom