BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,163
mwambie kaka yako azungumze na mkewe amuonyeshe hizo picha wamalize matatizo yao wenyewe
trust me ukiwa nasimu ya black berry unamchukua huyu demu bila mambo mengi
Ni vibaya sana kufanya uchunguzi wa jambo ambalo hutaweza kulifanyia maamuzi baada ya kujuwa ukweli.Mpo sawa kiumrì kwani ni pacha wako?
Au ni cousin wako?
Well. Japo kwa mwanaume inauma sana, ni heri achunguze kama mkewe anamegwa nje.
Kama kaliwa denda hadharari, je chumbani anafanyaje?
Akiisha mchunguza. Kukaa nae au kumwacha. Kumshauri au kumwekea kikao yote ni juu yake muhusika.
kwa hiyo ashamegwa sana na wenye BB?trust me ukiwa nasimu ya black berry unamchukua huyu demu bila mambo mengi
Umeona eeeeh.... Teh teh teh.kuna siku tutaona post hapa inasema ndio navua karibia anaingiza
kuna siku tutaona post hapa inasema ndio navua karibia anaingiza