naomba ushauri wenu wana jamii

mwambie kaka yako azungumze na mkewe amuonyeshe hizo picha wamalize matatizo yao wenyewe
 
Mpo sawa kiumrì kwani ni pacha wako?
Au ni cousin wako?
Well. Japo kwa mwanaume inauma sana, ni heri achunguze kama mkewe anamegwa nje.
Kama kaliwa denda hadharari, je chumbani anafanyaje?
Akiisha mchunguza. Kukaa nae au kumwacha. Kumshauri au kumwekea kikao yote ni juu yake muhusika.
Ni vibaya sana kufanya uchunguzi wa jambo ambalo hutaweza kulifanyia maamuzi baada ya kujuwa ukweli.
 
Wakae wawili na mkewe waongee, kama mke kaona ni makosa na anahisi anaweza kuendelea nae. Kusema amuache ni nzuri kama hana mpango wa kuoa tena. But pia, inategemea kama wana familia na hiyo familia ina ukubwa upi.
 
leo upo serious mara leo umelala wamemfumania kaka ako analiwa denda mbona huelewek beib.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom