Naomba ushauri wenu juu ya mambo haya, maana mwenyewe imefika mahali nimeanza kukata tamaa

Inasikitisha.
Maana huyu kasoma IFM tena banking and Finance level ya degree.
Kweli kabisa anatrade kwa mkopo?
Ali take risk ambapo ni kitu cha kawaida ila alisahau ku manage risk , kinachonisikitisha zaidi ni attempts zake za mara kwa mara kujaribu kunyanguka lakini anaangukia pale pale, PROBABLY tamaa ya kupata UTAJIRI wa haraka ili atatue matatizo yake ndio kilichomgharimu ndugu yetu...
 
huko kwenye FOREX sijaelewa kitu mana ni kitu ambacho hata sikijui so hata sielewi unaongelea nini, ila kikubwa kilichonigusa mpaka nikaona nisipite kimya, ni UPENDO wako kwa ndugu zako hasa MAMA yako, hongera sana kwa hilo, na kwa hilo Mungu hata kuacha hivi hivi, mark my word iko siku tu Milango yako itafunguka inaweza isiwe kupitia hiyo Forex but uko mlango mwingine pengine hujaujua bado ila upo usikate tamaa
 
Soko liking'amua upo kwenye pressure halikuwachi lazima likutembezee bakora...Magnetics alivyokuwa na pressure yakupoteza pesa za watu alienda kutulia kijijini kwamuda hakuzitaka bakora.

Zingatia psychology ya soko kwasasa uko na msongo sana unaokupa pressure inayokufanya kuwa kibua sokoni achana na soko kwa muda kwanza urudi na plan inayoeleweka.

UsiTrade pesa za watu hii ni Getting Rich Quickly Scheme inayokuandama, tafuta Mtaji wako mwenyewe mbona watu wanatoa 100$ mpaka 10000$.
 
Sema ontario hayupo angekugeuza kuwa shark wewe kibua.

Sema mkuu unaharaka na mafanikio pasipo kuwa na mipango, pia inaonekana unataka wa prove watu tofauti (kama kuwaonesha na wewe unapesa hasa marafiki zako ulio sema). Mkuu punguza mawazo na tamaa za mafanikio andaa plan ya wewe kufika unapo itaji amini utafika.

Ukipata time nyingine jaribu ku diversify kile unachotaka kuwekeza, ulisema uliwai kufanya biashara ya simu kwa nini usijaribu kurudi tena kule huku ukifanya forex, ulijaribu biashara nyingine kwa nini usifanye huku unafanya forex

Sema wezangu mnajua chezea mitaji
 
Inaonekana mkuu unatatizo upande wa risk management

Wewe now unachowaza ni kurudisha pesa ulizopoteza kitu kinachopelekea utumie lotsize kubwa kuliko capital uliyonayo

Pia jifunze namna ya kutake loss usisubiri mpaka acc ikaungua

Kwenye forex hatauwe mtaalam kiasi gani, ukitumia lotsize kubwa lazima uchome acc ndio shida uliyonayo huwezi poteza dola nyingi kiasi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
True
 
Ali take risk ambapo ni kitu cha kawaida ila alisahau ku manage risk , kinachonisikitisha zaidi ni attempts zake za mara kwa mara kujaribu kunyanguka lakini anaangukia pale pale, PROBABLY tamaa ya kupata UTAJIRI wa haraka ili atatue matatizo yake ndio kilichomgharimu ndugu yetu...
[/QUOTE physically najiona kama niko fresh yaani napanga mipango yangu fresh sema nahc emotionally siko poa bila kujijua
 
huko kwenye FOREX sijaelewa kitu mana ni kitu ambacho hata sikijui so hata sielewi unaongelea nini, ila kikubwa kilichonigusa mpaka nikaona nisipite kimya, ni UPENDO wako kwa ndugu zako hasa MAMA yako, hongera sana kwa hilo, na kwa hilo Mungu hata kuacha hivi hivi, mark my word iko siku tu Milango yako itafunguka inaweza isiwe kupitia hiyo Forex but uko mlango mwingine pengine hujaujua bado ila upo usikate tamaa
Ndugu yngu post yako imenipa nguvu asante sana.
 
Asante kaka

Pia zingatia LEVERAGE, Tumia Leverage ndogo ambayo itakuruhusu kufungua position chache kwa lot ndogo, hii itakusaidia sana upande wa risk management na kupunguza mihemko. Broker anaye offer Leverage kubwa usipokuwa makini kila wakati utakuwa unamchangia hela zako .
[/QUOT
 
Sitasahau Mwaka 2017- 2018 ulikuwa Mwaka mchungu sana kwenye maisha yangu Baada ya kukutana na hii fursa ya forex. Nilipoteza pesa nyingi sana na muda. Nilitumia akiba ikaisha, nikauza gari labda nitarejesha hasara zangu, unapata leo profit ya $ 500 unafurahi kesho napoteza $ 2000, Mwisho gari ikaondoka, nikakopa benki dhamana nyumba, nilikopa Milion 10 pesa ikaondoka yote, Kuna shamba nilinunua huko Bagamoyo kama heka 5 nikauza kwa bei ya kutupa milion 9 nikawapa madalali Milion 1 nikabaki na 8 nikaenda, nikapigwa.

Nikafikia hatua mbaya hasa ya kuanza kuuza vyombo vya ndani, nikauza flat, nikauza set sofa nzima hahahaha jamani acheni ndugu nilichanganyikiwa. Mke ananishangaa tu. Mwisho nikasema yatosha, siwezi kuendelea kumfuraisha broker.

Bahati nzuri nilikuwa na pangale halijaisha Kigamboni, nikafanya mpango nikatafuta mteja kabla benki hawajaja kufanya yao, nikauza hii nyumba niliyokopea bei nzuri tukaenda benki Mteja(alikuwa mteja muelewa) akalipa deni la benki tukapewa hati tukaja tukamalizana. Pesa nikapeleka kumalizia pangale nikahamia nikawa nimebaki na kama milion 25 mkononi nikakimbilia kwenye korosho maana ndio ilikuwa biashara yangu kubwa, kilichotokea naamini mnakijua, Mpaka leo ninavyoandika Hapa pesa yangu haijarudi, Vitu ninavyofichukia kwenye maisha yangu kwa sasa ni Magufuli na Forex Mungu awatie lawana hawa mbwa. Leo kula yangu ya mashaka, napigania dadalala?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Po

Pole pia mkuu
 
Aisee kumbe mimi bado sijafilisika eeeh...
 
Duuh pole sana
Hayo maforex kika siku naona watu wanalia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom