Naomba ushauri please. ..

baraka boki

Senior Member
Sep 20, 2010
181
80
Habari za asubuhi wadau

Kuna msichana ambaye ni rafiki yangu wa karibu ameniomba nimtoe out leo maeneo ya ufukwe na mimi sehemu nilizozoea ni white sand hotel , jangwani sea breeze na kunduchi wet'n world .Naomba experience yenu wadau ya ufukwe mpya ambapo naweza kumpeleka na hiyo sehemu kuwe na swimming pool .Nangoja ushauri wenu wadau
 
Hivi kwani Dar kuna fukwe mpya...fukwe ni zile zile banaaa...

Kama unataka kula bata ya fukwe nzuri nenda White Sands...walau maji yake na mchanga wake na mandhari yake ni ya kistaarabu.

Kama vipi lipia boti uende Mbudya ukachezee maji ya kisiwani...
 
Mpeleke Koko Beach pembeni kuna mihogo na mishikaki kama una gari tayarisha parking fees!!
 
Hivi kwani Dar kuna fukwe mpya...fukwe ni zile zile banaaa...

Kama unataka kula bata ya fukwe nzuri nenda White Sands...walau maji yake na mchanga wake na mandhari yake ni ya kistaarabu.

Kama vipi lipia boti uende Mbudya ukachezee maji ya kisiwani...

Yaani hii mbudya imekuwa uwimbo wa taifa...itabid nikakushangae
 
Ni sehemu yenye mandhari nzuri, mchanga na maji safi...

Pia si rahisi kukutana na kuku wa kienyeji kama ilivyo Coco au baadhi ya beaches za Jangwani au Kigamboni ...
 
Habari za asubuhi wadau

Kuna msichana ambaye ni rafiki yangu wa karibu ameniomba nimtoe out leo maeneo ya ufukwe na mimi sehemu nilizozoea ni white sand hotel , jangwani sea breeze na kunduchi wet'n world .Naomba experience yenu wadau ya ufukwe mpya ambapo naweza kumpeleka na hiyo sehemu kuwe na swimming pool .Nangoja ushauri wenu wadau

mje kwetu shy - ipo sehem nzuri NIN'GWA .
 
Kama una mafuta ya kutosha, MINDU BEACH morogoro, kama unaelekea Mzumbe Univ!
 
Reread please...nikakushangae uko..sio weye......au kuna vivutio kwako???

haha! Mkuu anavivutio vyote huyo milima mirefu,uoto wa asili,mbuga za wanyama,baharis, yaani yani we endelea kumshangaa tu haki ya nani utaona maajabu yake! Haha! Nasepa..
 
Hahahah...wasalimie pande hiyo!!!
 
Habari za asubuhi wadau

Kuna msichana ambaye ni rafiki yangu wa karibu ameniomba nimtoe out leo maeneo ya ufukwe na mimi sehemu nilizozoea ni white sand hotel , jangwani sea breeze na kunduchi wet'n world .Naomba experience yenu wadau ya ufukwe mpya ambapo naweza kumpeleka na hiyo sehemu kuwe na swimming pool .Nangoja ushauri wenu wadau
Nenda South Beach Kigamboni. Kuna swimming pool na fukwe yake ni safi sana
 
Habari za asubuhi wadau

Kuna msichana ambaye ni rafiki yangu wa karibu ameniomba nimtoe out leo maeneo ya ufukwe na mimi sehemu nilizozoea ni white sand hotel , jangwani sea breeze na kunduchi wet'n world .Naomba experience yenu wadau ya ufukwe mpya ambapo naweza kumpeleka na hiyo sehemu kuwe na swimming pool .Nangoja ushauri wenu wadau

Mamlaka ya Hali ya Hewa [TMA] wametoa tahadhari kuwa watu wawe makini na kuchukua tahadhari ya hali ya juu watakapokuwa kando kando ya bahari na wanaotumia vyombo vya maji kwani imetabiriwa kuwa kutakuwa na upepo mkali na mawimbi makubwa. Pia mvua inatabiriwa!
 
Ni sehemu yenye mandhari nzuri, mchanga na maji safi...

Pia si rahisi kukutana na kuku wa kienyeji kama ilivyo Coco au baadhi ya beaches za Jangwani au Kigamboni ...

waabongo tuna matatizo....yaani unaita binadamu wenzio kuku wa kienyeji!
 
Back
Top Bottom