Naomba ushauri ili nifanye maamuzi sahihi

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Hellow

Guys nina girl friend nampenda sana sana hivi juzi nilimwambia naomba meeting aje na rafiki yake home

Akasema no hawezi kuja labda mimi ndio niende kwake nikakubali kufika pale nakutana na rafiki yake ambaye alikuwaga ex wangu kipindi hiki niko shule ya upili

Sasa kufika pale nikajikausha kama simjui tangu nimekaa pale yule ex amekuwa akinitega sana nikatoka sebleni nikamwambia naenda kupumzika nikiwa room kaja tena kagonga mlango nikamwambia pita

Ndipo akapata nafasi ya kuongea na mimi akasema kuwa amwambie mchumba wangu ukweli wote kuhusu mimi na yeye mahusihano yetu au lah yeye amwambie na nikitaka asijue basi nichague kuludiana na yeye uku akiniongea kwa mitego

Mpaka sasa sijamwambia my lovery lakini yule ex bado anaendelea kutuma mapicha picha na sms za mitego na mimi simu huwa nikiwa na my lovery na mwachia hadi jf mda mwingine ana comment badala yangu

Nifanyeje wakuu
 
Daah wewe mwambie tu huyo girlfriend wako ya kuwa kipind upo shule uliwahi kuwa na mahusiano na huyo Rafiki yake na Sasa ni ex wako... Yeye ndio atajua afanyaje wewe muweke wazi kwa kila kitu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom