Naomba tujadiliane hili

bombu

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,127
542
Hivi kuna uhusiano gani kati ya umbile la nje (physical built up/morphology) la mwanadamu na matamanio ya kingono? Huwa nashangaa sana jinsi binadamu anavyojenga sababu na anavyo halalisha matamanio. Vitu kama makalio, chuchu, macho, miguu kwa (wanawake) au kifua, urefu, ufupi rangi n.k, vina uhusiano gani katika utamani kingono? Utakuta mwanaume kwa mfano amemuona mwanamke mwenye makalio makubwa yakampelekea kutamani kuwa naye kingono. Je ni kweli kwamba tunachokitamani ndicho tunachotarajia kukipata au kuna falsafa nyingine hapa?

Tusaidiane hapa
 
Hivyo ni vigezo yaani unavyoona ile outside appearance unaiweka akilini mwako pia kuwa hata ndani zaidi inaweza ikawa the same yaani akawa mzuri kvile vile kitandani
Ila ni imagination tuu haina uhusiano wowote maana kuna ambao hawana hivyo vitu ila ni wazuri sana kwenye mambo mengine
 
Imagination na Infatuation kwa mambo kama haya ni mbaya maana you expect the unexpected
 
Hivi kuna uhusiano gani kati ya umbile la nje (physical built up/morphology) la mwanadamu na matamanio ya kingono? Huwa nashangaa sana jinsi binadamu anavyojenga sababu na anavyo halalisha matamanio. Vitu kama makalio, chuchu, macho, miguu kwa (wanawake) au kifua, urefu, ufupi rangi n.k, vina uhusiano gani katika utamani kingono? Utakuta mwanaume kwa mfano amemuona mwanamke mwenye makalio makubwa yakampelekea kutamani kuwa naye kingono. Je ni kweli kwamba tunachokitamani ndicho tunachotarajia kukipata au kuna falsafa nyingine hapa?

Tusaidiane hapa

Kwani kuna uhusiano gani kati ya chakula na njaa.
Na ndiyo hivyo basi kama njaa inavyokuja automatic, ndivyo na matamanio yanavyokuja.
Na si kama mtu anakula anachopenda tu, coz matamanio yana nguvu zaidi juu ya hata usivyovipenda.
Hujawahi kumsikia mtu akisema nina kiu ila kiu yangu haitomalizika kwa maji labda nipate juis.
Mfano huo unatoa nguvu halisi ya matamanio.
Sijuwi kama nitaeleweka ila nitakuja tena mida
 
heheeee TB bwana mie niko kama namba moja, na wala si mrefu

kama wewe ni no 1
basi wivu unakusunbua ukiona wenzio wanapata attention
so ushauri wangu ,tafuta mchina ujiondoelee stress
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom