Naomba tujadiliane hili

Hata mi nashangaa....wakati ladha ya biya inajulikana....wanahangaika na kuweka mbwembwe kibao kwenye chupa....

Conclusively.....packaging matters a lot!
 
Kumbuka asili ya ngono ni kuzaa (originaly) na animal kingdom inatumia sex kwa kuendeleza ukoo wa species. Sasa kwa mwanaume, yule mwanamke mwenye ****** ndie anaonesha zaidi dalili za afya na dio ubongo unamtamani. Wanawake tunavutiwa na wanaume wenye musce kubwa sababu in our sub-conscience mwanaume anatakiwa aku-protect.
Vile dunia inaendelea survival inazidi kutegemea vitu tofauti. Mfano: kuna dalili kwamba in big cities wanawake huvutiwa zaidi na wanaume wenye akili zinazo challenge ya kwao. Sababu deep inside wanawake wameanza kuelewa kwamba ujanja ni muhimu kuliko phisical strength. Pia kuna wanawake wanavutiwa na mwanaume anae vaa vizuri ao kupaka marashi ya kunukia. Hizo ni dalili za financial stability ambazo siku hizi ni muhimu kwa survival. Kweli kuna wengine wanaiga tu zababu wengine walifanya hivo ila hawaridhiki na choices zao.
Kuvutiwa kingono kunaweza saidia kumtambua mtu anae vutiwa ana wasiwasi gani na wapi anategemea kuata stability na pia ni kitu gani anaona muhimu kwa kuendeleza ukoo wake. It is in the sub-conscience so you can't fake it
 
Mimi huwa nawatamani kama namba moja kama wewe ila wawe warefu atleast

ndo hapo sasa utuambie hiyo namba moja unayotamani inaupelekeaa vipi au inahusisha vipi ngono? hope nimeuliza vyema
 
leo ndio naelewa alichokifuata Dada Wema Sepetu kwa Kaka Diamond
 
ndo hapo sasa utuambie hiyo namba moja unayotamani inaupelekeaa vipi au inahusisha vipi ngono? hope nimeuliza vyema
easy to carry, easy to find the specific needed area compared those big women
 
russianroulette umebadili avatar naona
duh
Yeah, nilibadili mara ya kwanza ila nikaona imekaa sexual zaidi. Huoni gun, unaona chu...pi. Nimebadili tena nimeweka hiyo ya black and white. How do you like it?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom