St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,663
- 4,558
- Thread starter
- #61
Umenishambulia mimi ila hujajibu swali la msingi. Naomba tuangalie japo majina matatu yanayoweza kufit kwenye uwaziri wa Fedha..Akili zako ndogo, umechukulia upinzani ni wakina fulani na ndio ujinga mnaowaza. Hivi tuambie before wewe ulijua Ummy atakuwa waziri wa Afya? Au hata Kigwangala atakuwa waziri wa maliasili? Unauliza nini kama mtoto alielelewa na mama? Huu uzi ni wa ovyo sana. Halafu naomba nikusaidie wewe mwenye akili ndogo, hauwezi ukauliza swali ambalo jibu lako unalo tayari, tena la kimazingira ambalo linakuwa na majibu tofauti tofauti hata 10. Wewe unataka ujibiwe kama unavyojua wewe akili hautaelewa kitu. Unazungumzia doa jeusi kwenye karatasi nyekundu ndio upeo wako. Pole sana, Tanzania ina watu milioni 50, kati yao ndio watapatikana viongozi full stop.
Sent using Jamii Forums mobile app