Uchaguzi 2020 Naomba nije kivingine kuhusu Tundu Lissu

Ww huna maono ya kiuongozi, unaangalia kama raia mwema tu ... Anayetaka kugombea anamaono, ndio maana sio kila mtu anaweza kuwa kiongozi ... Kiongoz, hasa kiongoz wa ngaz ya rais inabd awe muelewa sana, anayesklza ushaur na mwnywe maono ... Hyo ndio tofauti ya lissu na ww ... Ww huwaoni watu na huoni jns gan atafanya, yy ashaona na anajua jns gan atampata kila amtakaye kufnya nae kazi
Huoni kuwa baraza la mawaziri itabidi lisubiri marekebisho ya katiba ili liundwe au mtakiuka katiba? Kifupi ni kuwa upinzani kuunda serikali bado sana. Na ndio maana hata mamvi alikuja na watu wake akijua kabisa huko hakuna watendaji .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww unavyoona mtu kama shoza, anafaa kuwa pale walipo ....
Nashukur kuwa unafahamu kuweka tu mtu yeyote kunaleta majanga MFANO hlo la shoza, muhongo(kaenda shule ila hafai kuwa kiongoz, alikosea kuwekwa pale alipokuwa), kangilugola(mambo na maneno anayoongea yanatanabaisha kuwa uwezo wake na nafasi aliyopewa ni vtu viwil tofauti .... So CCM ndo hawana watu, wameokoteza okoteza tu, kgezo chao kikubwa naona ni kutokuwa na aibu ya kuropoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchambuzi safi kabisa mkuu na ndio maana nikaanzisha mada hii ili tuangalie na upande wa pili na tuepuke kuokoteza. Kwa mfano nafasi ya waziri wa Fedha unaona ni nani anaweza kuimudu katika chama vyenu?
 
Sawa ni watu. Lakini si kila mbunge ana sifa ya kuwa katika baraza la mawaziri..
Ya, asiyefaa hatatumika ... Ndio maana ata walivohama bado kuna mpnzan mwngne alisimama kugombea ... Hii ni tafsiri kwamba upnzani kuna watu ...
Alivofukuzwaga zito wengi waltegemea chdma ingepotea kbsa matokeo yake akaibuka lissu, na watu kama lissu wapo wengn mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahaba niue mnayo nyie mtu anavuruga Uchumi wa nchi mnasema anapaisha Uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi wa mjini ule wa wapigaji umevurugika kwelikweli, ule wa maana kwa walio wengi haujavurugika.

Zile pesa za matanuzi ya mwishoni mwa wiki zimeelekezwa kwenye ujenzi wa zahanati na madaraja nchi nzima.

Zile pesa za kuhonga hovyo ndio hizi zinazoongeza madawa mahospitalini na kununua ndege.
 
Ww huna maono ya kiuongozi, unaangalia kama raia mwema tu ... Anayetaka kugombea anamaono, ndio maana sio kila mtu anaweza kuwa kiongozi ... Kiongoz, hasa kiongoz wa ngaz ya rais inabd awe muelewa sana, anayesklza ushaur na mwnywe maono ... Hyo ndio tofauti ya lissu na ww ... Ww huwaoni watu na huoni jns gan atafanya, yy ashaona na anajua jns gan atampata kila amtakaye kufnya nae kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapa naomba nitofautiane na wewe sababu Lissu nimjuaye mimi huwa hasikilizi ushauri ..
 
Uchumi wa mjini ule wa wapigaji umevurugika kwelikweli, ule wa maana kwa walio wengi haujavurugika.

Zile pesa za matanuzi ya mwishoni mwa wiki zimeelekezwa kwenye ujenzi wa zahanati na madaraja nchi nzima.

Zile pesa za kuhonga hovyo ndio hizi zinazoongeza madawa mahospitalini na kununua ndege.
Kweli wewe umechanganyikiwa, ndege zina impact gani kiuchumi? Kama si ushamba tu, watu wanachangishwa kujenga zahanati unasema serikali inajenga?
Aisee kumtetea shetani yahitaji moyo Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kubwa la watz ni kuwa tunaamini tunachokiona tu, hatuwez fikiria zaid ya hapo ..... Mfano mtu anaona tv inawaka basi anaona ni ktu cha kawaida tu ... Waliofikiria kuitengeneza walipngwa sana ila waliamini maono yao na idea zao, ... Watu wanaamini kuwa ccm ndio wanawatu kwasabab wanaona kila uchaguz ukpta ccm ndio inaunda serikar so wanaamin kuwa ccm kuna watu weng, na upnzan hmna watu kwasabab hawajawai kuona chdm au cuf ikiunda serikar ... STOP thinking like that bro ... Kuna watu wengi mnoo na sio wote lazma wawe maarufu kama unavyofkria ww, anaweza ata akachukuliwa raia yeyote anayeamnika yuko vzur na akapewa nafasi
Uchambuzi safi kabisa mkuu na ndio maana nikaanzisha mada hii ili tuangalie na upande wa pili na tuepuke kuokoteza. Kwa mfano nafasi ya waziri wa Fedha unaona ni nani anaweza kuimudu katika chama vyenu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wewe umechanganyikiwa, ndege zina impact gani kiuchumi? Kama si ushamba tu, watu wanachangishwa kujenga zahanati unasema serikali inajenga?
Aisee kumtetea shetani yahitaji moyo Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio hujielewi, hujui ndege zina impact gani kiuchumi!!. Huwezi hata kuunganisha utalii wa kimataifa na nchi kuwa na chombo cha usafiri cha kuwaleta nchini watalii hao?.

Washamba ni watu wa aina yako ambao local thinking haiwatoki, mnazeeka nayo.
 
Alishauriwa na nan??? Je ww unaweza kusikiliza ushairi wa kila mtu ???? Kuna wengine wanakupa ushaur wa kukurudsha nyuma ... KAMWE ata ww usichukue kila ushaur unaopewa, ila changanua na ng'amua kisha uchukue ushaur mzuri tu
Alishauriwa abadili namna ya ukosoaji wake kwa serikali uliokuwa umejikita zaidi katika kebehi na utovu wa adabu kwa mkuu wa nchi akakataa kubadilika..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa

Watakuwa Kina nani sasa?? Lengo la uzi huu ni kuwajua japo wawili watatu..
Tatizo lako wewe hujui kuwa Rais ni taasaisi sio mtu. Viongozi wote wa nafasi za kuteuliwa na Rais wanatafutwa kwa utaratibu. Na utaratibu huo unaongozwa na TISS naomba ujue. Sio rahisi kukupa majina yao hapa, hizo zako ni ngonjera na mipasho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nategemea kusikia kuwa labda mheshimiwa Mdee anaweza kushika uwaziri wa Sheria, mheshimiwa Kubenea akashika uwaziri wa habari nk. Vinginevyo ninalazimika kusema kuwa upinzani hauna watu wa kuweza kushika nafasi nyeti serikalini zaidi ya mgombea ambaye ameshapitishwa na wanachama tayari..
Akili zako ndogo, umechukulia upinzani ni wakina fulani na ndio ujinga mnaowaza. Hivi tuambie before wewe ulijua Ummy atakuwa waziri wa Afya? Au hata Kigwangala atakuwa waziri wa maliasili? Unauliza nini kama mtoto alielelewa na mama? Huu uzi ni wa ovyo sana. Halafu naomba nikusaidie wewe mwenye akili ndogo, hauwezi ukauliza swali ambalo jibu lako unalo tayari, tena la kimazingira ambalo linakuwa na majibu tofauti tofauti hata 10. Wewe unataka ujibiwe kama unavyojua wewe akili hautaelewa kitu. Unazungumzia doa jeusi kwenye karatasi nyekundu ndio upeo wako. Pole sana, Tanzania ina watu milioni 50, kati yao ndio watapatikana viongozi full stop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom