Naomba ndoa kwa mamndeny

Jamani mandenyi itika ombi langu basi. Usidhani me ni mchovu kivile... Ingawa siko vizuri kihivyo pia. Ila nina uwezo wa kukumudu kimalovee na accesories zake kama kukupeleka nairobi mara 2 kwa mwezi, take u to natl parks weekly etc etc etc. Please
 
Sasa hapa naomba kutumia reserve ya mtu mwenye taaluma alojaliwa na maulana....... Ladies and gentlemen presenting you the most talented and most adorable mdada please welcome......, ladies and getlemen..,, madame x
 
Mbona unataka kumamsha mteja wangu? Una msumbua bhana!

Ni vizuri ukamuelewa mteja wangu alicho kwambia!
Jamani mandenyi itika ombi langu basi. Usidhani me ni mchovu kivile... Ingawa siko vizuri kihivyo pia. Ila nina uwezo wa kukumudu kimalovee na accesories zake kama kukupeleka nairobi mara 2 kwa mwezi, take u to natl parks weekly etc etc etc. Please
 
achana na hako ka-@ruttashobolwa hakana lolote,
baada ya kufukuzwa kazi ya mng'arisha viatu na@bishanga now amekuwa tapeli kujifanya mwanasheria,
eek.gif

now anajipendekeza kwa mandenyi apewe ushamba boi,
wacko.gif

wewe kweli una tatizo....... How kam unataka kuzuia mapaja ya wa2 wawili yasiktane? Just emergine wa2 wanatakana & then you just monopolizing them hence u are extorting pipo. Please no
 
Mamndenyi muonee huruma mwenzio,
israel.gif

kijana kadhamiria na yupo siriaz,
angalia anavyotema mistari,

Jamani mandenyi itika ombi langu basi. Usidhani me ni mchovu kivile... Ingawa siko vizuri kihivyo pia. Ila nina uwezo wa kukumudu kimalovee na accesories zake kama kukupeleka nairobi mara 2 kwa mwezi, take u to natl parks weekly etc etc etc. Please
 
Last edited by a moderator:
Madame x naomba unipe sapoti basi jamani. Huyu mdada aitwaye mamndenyi kanizorotesha afya yangu. Halafu kuna bwenga (mhaya) fulani ananiongozea maumivu anaitwa rutta.
 
That will be your contract with madame x not with ma client!

Mteja wangu kakuzorotesha!!!!
Do you have prove?
And that is accusation to my client
I should open another charges against you.

Madame x naomba unipe sapoti basi jamani. Huyu mdada aitwaye mamndenyi kanizorotesha afya yangu. Halafu kuna bwenga (mhaya) fulani ananiongozea maumivu anaitwa rutta.
 
kazi inapokuwa ngumu ni pale mwanasheria ni mthungu,
hapa inabidi my son Erickb52 awe mkalimani wangu,
na mwisho wa kesi Arushaone lazima arudishe hela za gharama.

You should prove that mana is ruttashobolwa!
Your trying to ruin my reputation!

And this will cost!
 
Back
Top Bottom