Naomba ndoa kwa mamndeny

kukosa maadili tena kunaingiaje hapo?

kijana moyo wake umekudondokea,
mpe nafas mjivinjari,
si unajua malavidavi hayana umri,
na kijana yupo tayari kuchukua jumla,

kijana masai ya Arusha hiyo inaitwa Arushaone ipo tayari kabisa, imesema itaswaga ngo'mbe elfu moja kwa boma kama mahari,


Eeeeh bana eeeeh,
nikisema maadili hakuna mnasema umezeeka,
si unaona mwenyewe sasa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom