Unachotakiwa kufanya kwanza ni kujua masomo unayotaka kufanya/specialise halafu tafuta shule ambayo itakupa masomo unayotaka. Vyuo vipo nyingi duniani na msomo yao hayafanani. Lakini vyuo vingi viliyo vizuri vinatoa foundation courses kwenye Accounting, Finance, Marketing, Managerial Economics, MIS, na Quantitative methods. Baadhi ya masomo haya yanaweza kuwa magumu, lakini integemea chuo unachokwenda. Baada ya foundation courses ndiyo unaingia kwenye MBA programme yenyewe.
Kama nilivyosema hapo juu vyuo vipo vingi na havifanani. Masomo ya MBA yapo "pupular" kwenye vyuo vingi kwa vile wanaosoma wengi wao wana uwezo wa kulipa. Kwa vile watu wanaotaka kusoma MBA ni wengi basi baadhi ya vyuo vinatoa degree za MBA amabazo naweza kusema hazina ubora sana.
Mimi nadhani kama unaendesha biashara zako ni vizuri sana ukasoma hiyo degree. Ulimwengu wa leo una ushindani mkubwa katika mambo ya biashara. Achana na hao wanaobeza umuhimu wa elimu. Cha muhimu uchague masomo unayotaka kufanya halafu vyuo na vile vile nchi. Degree za MBA zinatolewa zaidi USA kuliko ulaya.