Naomba msaada waa kupata vitabu vya Shule ya Msingi

Kahise

JF-Expert Member
Jul 25, 2008
379
435
Wakuu ninaomba msaada wa kupata vitabu vya Shule ya Msingi, ambavyo ninaweza kupakua toka mtandaoni.

English for Standard Seven, Pupils Book.

Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi- Darasa la Saba.

Hisabati Kitabu cha Mwanafunzi -Darasa la Saba.

Sayansi na Telnolojia Kitabu cha Mwanafunzi-Darasa la Saba.

Stadi za Kazi Kitabu cha Mwanafunzi - Darasa la Saba.
 
Back
Top Bottom