samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 354
kwayeyote alie na uwezo wa kunisaidia,nina dish la ft6 resiver guf star,nipo morogoro,awali nilikuwa na pata kwasasa sipati kabisa,naombeni msaada.
kwayeyote alie na uwezo wa kunisaidia,nina dish la ft6 resiver guf star,nipo morogoro,awali nilikuwa na pata kwasasa sipati kabisa,naombeni msaada.
una2mia ricva gani na maeneo gani ya moro unapatikana?
zinapatikana, labda dish halipo kwenye position nzuri. Mimi nipo moro KOLA nazipata