Naomba msaada wa Star TV na chanel 10

samilakadunda

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
1,780
354
kwayeyote alie na uwezo wa kunisaidia,nina dish la ft6 resiver guf star,nipo morogoro,awali nilikuwa na pata kwasasa sipati kabisa,naombeni msaada.
 
Hapa Moro kuna jamaa anaset vizuri mi nilikuwa na dish kama hilo sasa napata vizuri tu kama vipi ni pm
 
zinapatikana, labda dish halipo kwenye position nzuri. Mimi nipo moro KOLA nazipata
 
Kweli Bro. Mimi pia nipo Moro - Sabasaba. Star Tv na Ch10. sizipati tangu april. Mtaalam Mzizimkavu naomba utusaidie. Mimi nina dish ft6, Receiver ninazo mbili Mediacom na ARISAT, zote zinadaka vizuri ITV na TBC1. Lakini kupata Star tv na Ch10 nimeshindwa. Au ni direction ya dish? naomba mtusaidie
 
Back
Top Bottom