Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

Dark City, nasubiri kwa hamu unjuka uishe, siwezi vumilia tena.

Nafsi inanisuta nikimtizama baba watoto, mabusu tele tele, mie natamani nimzabe kibao.

Kongosho,

Ni upepo tu mdogo wangu,

Stashangaa ukirudi hapa na kutueleza unavyomchukia huyu mtenda kazi!!

Babu DC!!
 
Mie nilidhani sielewi mambo ya kisasa.

Wale watoto nitawaleaje mwenyewe?

Huu ni ushauri wa kitoto sana,


Sijawahi kuusikia hata siku moja katika maisha yangu yote ya kutoa huduma ya marriage counselling!!

Babu DC!!
 
Najitahidi sana Ukwaju, ndio maana napunga mguu dirishani.

Du na mm nakushauri Mzee usimnyime mpe kifo cha mende km kawa
Ila jamaa mwache acheze ball mbele na nyuma tiktak kona hata penalti
 
Last edited by a moderator:
asante, angalau unanipa moyo ni kipindi cha mpito tu.

Nitajitahidi sana kukaa naye mbali.


Mie nakushauri usithubutu kufanya hivyo...kula naye sahani moja hadi kila mtu atie mpira kwapani!!

Kukimbia tatizo siyo tatizo...unataka kuwa kama mjukuu wetu yule anayekimbia challenges?

Nakuhakikishia ukimalizana na hili basi utaadhimisha silver jubilee ukiwa mwenye furaha sana!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom