Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

Ulimwengu huu ni wa ajabu sana. mtu asema ndio kumbe ana maana hapana. atasema nakuja kumbe anaondoka. ukiona mwenyekji wako anarudiarudia neno karibu ujue anataka uondoke. Basi wanadamu ni wa ajabu sana dada yangu. Mtu atasema binadamu wabaya lakini je, nani aweza kuishi bila bunadamu mwenzie? Kilichotekea kwako ni bahati mbaya tu na hii hutokea kwa wengi wendi wengi kwa msisitizo lakini hubaki siri hata baba yoyoo wako angeweza kuwa neye alishagafirika mahali lakini kwa vile hujui basi itabaki kuwa yuko safi.nimesema hata mimi nilishajikuta hhivo bila kutegemea ingawa nilikuwa sikamatiki ikaja siku nikanasa. Basi kapime afya yako kisha uendelee kama haijawahi kutokea kitu haina haja ya kujuta
 
E bana e,kumbe Asprin hatumii kondom? Kupotea kote jamvini konnie kumbe ulikuwa unachoropoa mimba?
Kudadadadaddeki ccm hoye,
Niendelee kumlipua kongosho nisiendeleee? Kudadadadaddeki!!!!!
we bishanga sasa unataka kongsho atumie kondom ataenjoi vp, we mshauri afanye nn bana/ mwenyenu kapagawa hivyo.
 
Na wewe labda huna cha kufanya, kuna Mwanamke mjanja kama Kongosho apate Mimba bila yeye mwenyewe kupanga? hapa anasherehesha tu.

Hakuna mjanja kwenye mimba. Siyo wakati wote mambo yanakwenda kwa kalenda, unaweza ukajikuta umenasa bila ya kudhamiria.
 
Mme wako anao wengine watatu akikwambia anaenda safari sometimes anaenda kwa match zake zingine, we endelea tu na buzi wako mchovu.. siku hizi ni kudanganyana hamna kugandana kama zama za kale
 
dah kongosho unataka kukifanya kibuzi cha kudumu,ngoja nifunge kwa ajili ya maombezi ,majibu utayakuta inbox yako saa kumi na moja asubuhi sweetheart umejitoa fahamu dah
 
we bishanga sasa unataka kongsho atumie kondom ataenjoi vp, we mshauri afanye nn bana/ mwenyenu kapagawa hivyo.

Wa kumshauri sio mie,ni Asprin asali ya moyo wake,wamepotelea bondeni huko,wakatiana mimba,wakaichoropoa kisha wanakuja kutuangulia kilio hapa,waende zao huko,
Kudadadadadeki ccm hoyee,niendelee kuwalipua nisiendelee?
 
Last edited by a moderator:
walimwengu walisema .................kua uyaone mwanangu!:tape:
 
Wa kumshauri sio mie,ni Asprin asali ya moyo wake,wamepotelea bondeni huko,wakatiana mimba,wakaichoropoa kisha wanakuja kutuangulia kilio hapa,waende zao huko,
Kudadadadadeki ccm hoyee,niendelee kuwalipua nisiendelee?

Hahahahahaha!

Khaaa!

Wewe bana wewe..... Hehehehehe!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha!

Khaaa!

Wewe bana wewe..... Hehehehehe!

Mama Ashrat anakusalimia,anasema Baba Ashrat amechoka na maisha ya ughaibuni,anaomba umtafutie kibarua bwanake hata kama ni cha kubeba zege kwenye mradi wa daraja lakigamboni ili mradi mkono uende kinywani.
 
Last edited by a moderator:
Mama Ashrat anakusalimia,anasema Baba Ashrat amechoka na maisha ya ughaibuni,anaomba umtafutie kibarua bwanake hata kama ni cha kubeba zege kwenye mradi wa daraja lakigamboni ili mradi mkono uende kinywani.

Huyo Mama Ashraf ni he au she?

Haya majina stuka wewe! Nikikuambia Sweetlady ni kidume utaamini? Think Bishanga..... Think!
 
Last edited by a moderator:
Mafundisho ya dini yanasema usikaribie zinaa moja ya sababu ni kwamba unaweza kwenda kuonja ukajikuta unajilaumu then may be ukaamua kutulia, au unaweza kwenda nje matokeo yake ukataka uhamie kama yaliyokutokea.

Ukitaka usolve tatizo lako once and for all, mtell mumeo ukweli, muombe radhi naamini atakusamehe.

itakuwa mbaya zaidi akisikia pembeni kuwa u have affairs. Inawezekena na mumeo nae anahadithi kama ya kwako isipokuwa hajui pa kuanzia.

Tafuta sehemu na siku maalum, upure kama vile ndo unaenda kuolewa, mwambie mumeo mkalale hoteli then huko2 umweleze.


Huu ni ushauri wa kitoto sana,


Sijawahi kuusikia hata siku moja katika maisha yangu yote ya kutoa huduma ya marriage counselling!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom