Naomba msaada wa haraka penzi la buzi linanizuzua

assuredly4, asante kwa maneno ya busara sana.

Ila unatumia nguvu nyingi sana, sosho life ingekuwa perfect kihivyo kungekuwa eden.

Anyway, ngoja nikukumbushe, wenye afya hawamhitaji daktari, wanaomuhitaji ni walio wagonjwa, sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu.

msidanganyike wazinzi hawatauridhi uzima wa milele,

yamtokayo mtu kinywani mwake ndio yaujazayo moyo wake, maneno yako hayaoneshi kujuta bali kufurahia uzinzi na kuendelea kuufanya, umekuja kutukebehi na kutafuta kuchafua roho zetu, kwa jina la Yesu kristo pepo akutoke na upotelee mbali\

kila apandaye uovu huvuna mabaya
 
Last edited by a moderator:
Msianze mara ooh ni dhambi, ni makosa, najua na imeshatokea, nachotaka ushauri wa nini cha kufanya.

Mie nimeolewa na nina watoto 3, maisha yangu na mume alhamndulilah yanasonga kama kawaida na afya ya ndoa yetu si mbaya, huu ni mwaka wa 9 wa ndoa yetu.

Januari nilenda mahali kikazi, na kupokelewa na kijana, si mzuri wa sura na kikazi namzidi rank mbali tu, japo kutokana na nilichotakiwa kufanya ilibidi niwe nae kwa ukaribu.
Nilikaa kwa wiki moja.

Ebwana, sijui imekuwaje hadi ilipofika March tulisha-du na mie nshapata na ujauzito wake na kutoa.

Kinachonisumbua ni jinsi ninavyojisikia kwa mume wangu, naona kama ananibaka, sitaki aniguse, nakuwa mkali 24/7 kwake, nahisi kama namcheat kibuzi wangu mpendwa.

Ila sasa kinachonipasua kichwa zaidi kibuzi ana mke na ameanza kujisikia hivi kama kaniweka mkononi.

Naona napoteza ndoa yangu nikiwa najiona, nimeshajaribu kumuacha mara mbili najikuta nampigia kumwambia hapana, sijawa tayari kumwacha.

Nisaidieni . . .
Wale wasafi wa matendo wanaotokaga povu, kemeeni kimya kimya, hapa nataka mawazo ya kunusuru ndoa(Rehab ya Ndoa)

Mafundisho ya dini yanasema usikaribie zinaa moja ya sababu ni kwamba unaweza kwenda kuonja ukajikuta unajilaumu then may be ukaamua kutulia, au unaweza kwenda nje matokeo yake ukataka uhamie kama yaliyokutokea.

Ukitaka usolve tatizo lako once and for all, mtell mumeo ukweli, muombe radhi naamini atakusamehe.

itakuwa mbaya zaidi akisikia pembeni kuwa u have affairs. Inawezekena na mumeo nae anahadithi kama ya kwako isipokuwa hajui pa kuanzia.

Tafuta sehemu na siku maalum, upure kama vile ndo unaenda kuolewa, mwambie mumeo mkalale hoteli then huko2 umweleze.
 
Ulimwengu huu ni wa ajabu sana. mtu asema ndio kumbe ana maana hapana. atasema nakuja kumbe anaondoka. ukiona mwenyekji wako anarudiarudia neno karibu ujue anataka uondoke. Basi wanadamu ni wa ajabu sana dada yangu. Mtu atasema binadamu wabaya lakini je, nani aweza kuishi bila bunadamu mwenzie? Kilichotekea kwako ni bahati mbaya tu na hii hutokea kwa wengi wendi wengi kwa msisitizo lakini hubaki siri hata baba yoyoo wako angeweza kuwa neye alishagafirika mahali lakini kwa vile hujui basi itabaki kuwa yuko safi.nimesema hata mimi nilishajikuta hhivo bila kutegemea ingawa nilikuwa sikamatiki ikaja siku nikanasa. Basi kapime afya yako kisha uendelee kama haijawahi kutokea kitu haina haja ya kujuta
 
Mafundisho ya dini yanasema usikaribie zinaa moja ya sababu ni kwamba unaweza kwenda kuonja ukajikuta unajilaumu then may be ukaamua kutulia, au unaweza kwenda nje matokeo yake ukataka uhamie kama yaliyokutokea.

Ukitaka usolve tatizo lako once and for all, mtell mumeo ukweli, muombe radhi naamini atakusamehe.

itakuwa mbaya zaidi akisikia pembeni kuwa u have affairs. Inawezekena na mumeo nae anahadithi kama ya kwako isipokuwa hajui pa kuanzia.

Tafuta sehemu na siku maalum, upure kama vile ndo unaenda kuolewa, mwambie mumeo mkalale hoteli then huko2 umweleze.
Haya ya kumweleza mmeo umezini ni mambo ya wazungu,ukitubu kwa mwanaume wa kiswahili atakugecha!
 
Maintain you cool Kongosho, kula kote kote, mpe baba watoto haki yake

na huyo kijana endelea kubanjuka nae huku ukitafuta namna ya kujinasua!

Du na mm nakushauri Mzee usimnyime mpe kifo cha mende km kawa
Ila jamaa mwache acheze ball mbele na nyuma tiktak kona hata penalti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom