Wakuu naomba msaade kwa haya yafuatayo
1. Wakati na access mtandao wa Jamii forums bahati mbaya bila kujua nilipunguza size ya maandishi na window. Leo tena nikiwa facebook nimefanya hivo bila kujua. So ninapofungua page hizo font size ni ndogo inaweza kuwa 6 hivi au 8. Nifanyeje kuirudisha kwenye normal? Wengine teknolojia zinatusumbua kidogo. Laptop yangu ni Accer.
2. King'amuzi changu cha Startimes nilihama nacho toka Dar kuja Mbeya na huku hakifanyi kazi. Ni8fanyeje hasa kwani jamaa wa Startimes hapa Mbeya hawako serious, hawajanisaidia chochote kwa wiki sasa.
Plz naomba msaada