INDOMITABLE COBO
Member
- May 27, 2013
- 12
- 3
Nna laptop yangu ni HP Compaq, toka nilipo nunua ilikuwa natumia iko poa ila kuanzia juzi imeleta tatizo, ukiwasha inawaka ikitoa logo ya hp haiendelei, au wakati mwengine nawaka mpaka mwisho na unaweza kutumia kidogo then inastack na kuleta blue screen au mawimbi mpaka uizime au ijizime yenyewe.
Nimejaribu kufanya yafuatayo bila mafanikio:
Nimebadili ram
Nimebadili procesor
Pia nilihisi ni kioo ila pia imegoma.
Naomba msaada Wadau
Nimejaribu kufanya yafuatayo bila mafanikio:
Nimebadili ram
Nimebadili procesor
Pia nilihisi ni kioo ila pia imegoma.
Naomba msaada Wadau