Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 44,375
- 105,200
Whatsupp
Nina PC yaina ya Lenovo Thinkcentre ilianza kuleta error ya blue screen siku kama 4 zilizopita. Ilikuwa kwa siku inaweza restart na kunonesha blescreen halafu ikarudi normal na isirudie tena.
Mwanzo niliona kawaida kwasababu hizi Windows 10 ishu ya bluescreen ni very common, so nilibashiri huwenda zile updates za windows ambazo nilikuwa nazi pause kwa hofu ya kumaliza bundles ndio zimeleta damage hii.
Sasa kuanzia juzi hapo hali ikawa critical yani kila ikiwaka nikifngua app yeyote tu inaji restart a kuleta bluescreen ikiwa na errors code tofauti tofauti.
Kuna muda ilikuwa ikiji restart inaniletea error code hii
Ambapo hiyo code kwa mujibu wa website yao husika ina husiana na tatizo la incompatible driver, ku abort windows update au RAM imechafuka.
Na recommendation yao ni kufanya system restore, kusafisha RAM ambapo vyote hivyo nilifanya lakini tatizo bado liliendelea na saizi nikawa naletewa error code tofauti tofauti kama inavyoonesha hapa chini
Nayo hiyo error code kwa mujibu wa microsoft wanadai ni corrupted files
Niki run safe mode lile tatizo la kuji restart halijitokezi na PC inakuwa stable sana ila ndio hivyo safe mode haikupi full access.
Nilichoamua kufanya ni kupiga windows nyingine lakini bado tatizo likawa vile vile, nikarudia upya kupiga windows, round hii nika format drive yote ili kama kuna files ambazo ni corrupted kwenye partition zingine zote zifutike ninaze na moja.
Lakini kwa bahati mbaya nayo haikusaidia, nikahofia pengine ni drive imeanza kufa, nikajaribu ku run disk checker kuangalia kama kuna bad sectors zinazo kwamisha lakini disk nimeikuta ipo clean.
Nikabadili hadi Drive nyingine kuona kama labda tatizo ni Drive yangu lakini bado tatizo liliendelea. Nikiweka windows 7 napata utulivu haisumbui kabisa ila nakuwa limited program zangu nyingi hazi run kwenye windows 7
Kama kuna mdau mwenye ujuzi wa kutatua hii changamoto basi TAFADHALI unaombwa ushee huo ujuzi hapa