Naomba msaada juu ya DECODA za Star times

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Kwa wanaofahamu,

Naomba kufahamu namna ya kufungua zile channel zinazo kuwa encrypted.
Kwa wale waliowahi kutumia hizo DECODA za Star Times wanaifahamu ile alama ya dolla
($) ambayo huwa inatokea kwenye channel zisizoonesha hata kama muda wa kulipia bado.
Hii hutokea kwa baadhi ya channel.(kama 5 hivi)

Pia naomba kuongeza swali jingine,
Hivi kunauwezekano wa kuona channel nyingine kama ITV kwenye hizo DECODA?

Asanteni sana.
 
yaanni hizo decoder za tbc sina hamu.....
na sitaki kusikia.............

mimi ni dstv tu................
 
Kwa wanaofahamu,

Naomba kufahamu namna ya kufungua zile channel zinazo kuwa encrypted.
Kwa wale waliowahi kutumia hizo DECODA za Star Times wanaifahamu ile alama ya dolla
($) ambayo huwa inatokea kwenye channel zisizoonesha hata kama muda wa kulipia bado.
Hii hutokea kwa baadhi ya channel.(kama 5 hivi)

Pia naomba kuongeza swali jingine,
Hivi kunauwezekano wa kuona channel nyingine kama ITV kwenye hizo DECODA?

Asanteni sana.

kalipie acha ufisadi........
 
Those are scrumbred channels it is not possible to get them, ni kama kule kwenye Fta satelite ie HBO,you need a certain codes.
 
nenda settings- manual settings- enter frequency 530, halafu scan utapata channels kadhaa, kama decoder yako ulinunua siku za karibuni.
 
nenda settings- manual settings- enter frequency 530, halafu scan utapata channels kadhaa, kama decoder yako ulinunua siku za karibuni.

bro mi kingamuzi changu kina code na sizijui nlinunua kwa mtu nkiingia setting kinadai msaada wako pls
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom