Chinga boy
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 412
- 101
Niaje wadau wa jf? Kwa wale walioko Access bank nimesikia hii bank inatoa mikopo hata kwa dhamana ya gari,so nipo mkoa duty station home ni Da nina gari ndogo ya biashara i.e tax nataka kuiombea mkopo lakn ipo huku Nzega vipi naweza fanikiwa kupata mkopo.Asanteni