Naomba mnijuze CV ya ADEN RAGE

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Naomba CV ya RAGE kwa kuwa anawezaje kudanganya watu wazima kiasi hiki?Kwa mfano rufaa ya Yondani eti anapeleka rufaa ya mchezaji aliyesaini miezi mitatu mbele,kweli unaweza kupeleka kwa wanaume rufaa kama hiyo, halafu aliwadanganya wanyamwezi ana familia wakampa uenyekiti wa wa wazazi, Rage ana familia gani si mhuni tu, anatumia elimu gani kudanganya watu kiasi hiki? kama ana familia basi labda iko inje ya inchi atakakokimbilia pindi uwongo wake utakapo fubaa.

=====
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation Honourable
Member picture
clip_image001.gif

First Name: Ismail
Middle Name: Aden
Last Name: Rage
Member Type: Constituency Member
Constituent: Tabora Mjini
Political Party: CCM
Office Location: Box 84, Tabora
Office Phone: +255 784 261761/+255 655 000891
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: irage@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 3 January 1953

EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Town Primary School
Primary Education
1961
1964
PRIMARY
Mihayo Primary School
Primary Education
1965
1965
PRIMARY
Urambo Extended Primary School
Primary Education
1966
1967
PRIMARY
Uyui Secondary School
O-Level Education
1968
1971
SECONDARY
College of Business Shinyanga
Accountancy
1972
1973
CERTIFICATE

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania Member - Tabora Town Constituency
2010
2015
Private Sector Director
1986
2010
The Capital Development Authority (CDA), Dar Es Salaam Director
1977
1985
East African Airways Assistant Accountant
1974
1976

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
2004
Todate

Ila katika CV hii toka office ya bunge mengi ni uwongo kama kuajiliwa CDA hakuwa Director elimu yake haimwezeshi kuwa Director bali katika shirika hilo alikuwa ni CLEARING AND FORWARDING CRACK .Kuchukua vitu bandarini na kuvipeleka CDA DODOMA

Pia katika CV hii toka bungeni imeficha mengi mfano kufukuzwa kazi CDA na Rais Nyerere kutokana na wizi wa furniture toka Zimbabwe kwenda Chamwino Ikulu.

Pia imeficha alivyofungwa kwa wizi wa Mpira ya fifa kwa wakati huo FAT akiwa ni katibu mkuu wa shirika hilo na kuachiwa kwa msamaha wa rais na baadae kushinda kwa rufaa.

Pia CV toka ofisi ya bunge imeficha Rage Kukatwa jina baada ya kuongoza kura za maoni jimbo la Tabora mjini mwaka 1995 baada ya TAKURU wakati huo kumhisi alitoa mlungula kwa wajumbe akitumia randrover 109

CV ya Rage toka bungeni imeficha alivyokula pesa za yanga toka CAF baada ya timu hiyo kufuzu nane bora

Pia katika CV toka office ya bunge halipo suala la kula fadha za rambirambi za Mafisango kwani alikula feadha hizo teyeri CV yake ilikuwa imeandikwa bungeni ilikuwa siyo laisi kubadilisha pia kula hele za usajili wa Okwi na
 
Hii ndiyo taabu ya kumpa Msomali wa kuja uongozi.

Rage Kinana wote ni Maharamia.

Msomali anatuandikia katiba?
Tuna akili kweli sisi?

Akili ni nywele,
Bila shaka ni za kichwani,

Kwa mtaji huu naamini waTanzania tunatumia nywele za kwapani na MERVOOZ(kumradhi) kufikiri.
 
rage ameishia darasa la saba,mi namfahamu sana anakaa tbr mtaa wa liwali ana kijumba cha kizushi pale tbr
 
Rage ana degree ya uhasibu na fedha- MSc acc& Finance (Mogadishu) : Pia ana ACCA (UK), isitoshe Alifanya kazi CDA kama mkurugenzi wa fedha kwenye miaka ya mwanzoni mwa 1980s. Jamaa zipo siyo kitoto.
 
rage ameishia darasa la saba,mi namfahamu sana anakaa tbr mtaa wa liwali ana kijumba cha kizushi pale tbr
Wewe na aliyeleta mada waongo wakubwa rage anaishi mtaa wa rufita, na nyumbani kwake zamani kulikua na Biashara ya hotel maarufu kwa jina la tanzania hotel, oposite na nyumba yake walikua wanapiga muzik tabora jazz!!! Pia ana elimu zaidi ya std VII, kumbuka kuwa aliwahi kuajiriwa CDA kwa nafasi ambayo hata ikitangazwa leo atatakiwa mtu mwenye Masters au zaidi.
Ikiwa una chuki zako weka wazi.....!!
Kumbuka nafasi ya katibu wa FAT na zote alizimudu, kifupi Mhe Rage ni msomi mzuri ktk fani ya uhasibu na course 14 mbalimbali za mipira,

Je unajua moja ya masharti ya vilabu ni kuwa na elimu si chini ya kidato cha nne?? ,

Acha ubaguzi nchi hii in wahindi, warabu, wasomali nk wote wa TZ acha dhambi hii!! itakula wewew na familia yako.
 
ivi huyu rage si miongozi mwa viongozi mapoyoyo kuwahi kuiongoza FAT ya kipindi icho, ambapo aligoma kupeleka jina la YANGA CAF ivyo yanga haikupangwa kwenye ratiba , sikumbuki ulikuwa mwaka gani, huyu jamaa ni mtaalamu wa fitina tu , kwa fitina nampa 100 %...
 
Wewe na aliyeleta mada waongo wakubwa rage anaishi mtaa wa rufita, na nyumbani kwake zamani kulikua na Biashara ya hotel maarufu kwa jina la tanzania hotel, oposite na nyumba yake walikua wanapiga muzik tabora jazz!!! Pia ana elimu zaidi ya std VII, kumbuka kuwa aliwahi kuajiriwa CDA kwa nafasi ambayo hata ikitangazwa leo atatakiwa mtu mwenye Masters au zaidi.
Ikiwa una chuki zako weka wazi.....!!
Kumbuka nafasi ya katibu wa FAT na zote alizimudu, kifupi Mhe Rage ni msomi mzuri ktk fani ya uhasibu na course 14 mbalimbali za mipira,

Je unajua moja ya masharti ya vilabu ni kuwa na elimu si chini ya kidato cha nne?? ,

Acha ubaguzi nchi hii in wahindi, warabu, wasomali nk wote wa TZ acha dhambi hii!! itakula wewew na familia yako.

Ni kweli mkuu watu wanapenda kujadili watu na kuwadharau kabla hata hujamjua. Mfano mzuri ni humu JF mtu anakurupuka anakuita kilaza hujasoma wakati hata hajui wewe ni nani, inatia hasira sana!
 
Mleta mada wewe ni sawa na masaburi, wivu wa kike, kichwani umejaa makamasi..kuhusu rufaa waulize TP Mazembe..
 
Ni kweli mkuu watu wanapenda kujadili watu na kuwadharau kabla hata hujamjua. Mfano mzuri ni humu JF mtu anakurupuka anakuita kilaza hujasoma wakati hata hajui wewe ni nani, inatia hasira sana!
Hata unavyoandika sentensi zako inaonyesha wewe ni kilaza tu na umesoma kwa kuungaunga! Siyo mpaka tukujue wewe ni nani, matendo yako kupitia maandishi ni kipimo tosha cha kujua kama wewe ni kilaza au kipanga! Chezea JF wewe?????!!!!!!!!!!!!!!
 
Naomba CV ya RAGE kwa kuwa anawezaje kudanganya watu wazima kiasi hiki?Kwa mfano rufaa ya Yondani eti anapeleka rufaa ya mchezaji aliyesaini miezi mitatu mbele,kweli unaweza kupeleka kwa wanaume rufaa kama hiyo, halafu aliwadanganya wanyamwezi ana familia wakampa uenyekiti wa wa wazazi, Rage ana familia gani si mhuni tu, anatumia elimu gani kudanganya watu kiasi hiki? kama ana familia basi labda iko inje ya inchi atakakokimbilia pindi uwongo wake utakapo fubaa.
Duh!!mi simo
 
kama kuna mtu ambaye ana cv ya mbunge Ismail Aden Rage naiomba tafadhali hapa hapa.
 
Back
Top Bottom