Naomba mnijuze CV ya ADEN RAGE

Ok! Ndiyo maana hawezi kujenga hoja anapokuwa bungeni zaidi ya vijembe. Now it saysnit all. Huyu kila akisimama utafikikiri yuko kwenye mashindano ya vijembe. Bila shaka hawa ndiyo wanaoteyea wabunge wajue tu kusoma na kuandika. Mmh! Kaazi kweli kweli.
 
Lahaula !!! Kumbe ndio maana. Nipeni ile picha rage wakimpiga mwanachadema mawe
attachment.php
 
Jamii ya akina RAGE wako vizuri sana kwenye masuala ya UJANGILI (POACHING); hayo mambo mengine ni zuga ama danganya toto pekee, rejea nzuri ni KM wa MAGAMBA Mr. KINANA
 

Attachments

  • RAGE NA BASTOLA.jpg
    RAGE NA BASTOLA.jpg
    19.2 KB · Views: 83
Wewe na aliyeleta mada waongo wakubwa rage anaishi mtaa wa rufita, na nyumbani kwake zamani kulikua na Biashara ya hotel maarufu kwa jina la tanzania hotel, oposite na nyumba yake walikua wanapiga muzik tabora jazz!!! Pia ana elimu zaidi ya std VII, kumbuka kuwa aliwahi kuajiriwa CDA kwa nafasi ambayo hata ikitangazwa leo atatakiwa mtu mwenye Masters au zaidi.
Ikiwa una chuki zako weka wazi.....!!
Kumbuka nafasi ya katibu wa FAT na zote alizimudu, kifupi Mhe Rage ni msomi mzuri ktk fani ya uhasibu na course 14 mbalimbali za mipira,


Je unajua moja ya masharti ya vilabu ni kuwa na elimu si chini ya kidato cha nne?? ,

Acha ubaguzi nchi hii in wahindi, warabu, wasomali nk wote wa TZ acha dhambi hii!! itakula wewew na familia yako.
Mi nilijiuliza sana juu ya elimu yake pale aliposema kuwa ''Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dodoma ilungua kwasababu ya shortage ya umeme alirudia sana na hata alipokosolewa na mbunge mwenzake akugundua tatizo la kusema shortage badala ya shoti ya umeme,nilishangaa zaidi pale mbunge nadhani ni profffesor yule alisema yeye alimfundisha yule mbunge aliyemkosoa rage na kuwa kusema kuwa SHORTAGE ya umeme ndiyo iliyounguza jengo ni sahii kabisa.Nimejiuliza mengi sana kuhusiana na umahiri wa Maprofesor wetu na uwezo wa wabunge wetu.Navyojua Shortage means defficiency of au lack of ,insufficiency etc from a free dictionary:a deficiency or lack in the amount needed, expected, or due; deficit.Ask yourself je shortage ya umeme inawezwa kusababisha jengo kuungua?

Then what is electric short :
An electrical short or a short circuit is a problem which occurs when an accidental path is created in a circuit, generating a connection where one did not exist before. Since electrical current follows the path of least resistance, it would follow this path rather than the one established in the circuit, causing an unusually high flow of current. Classically, shorts occur when bare wires cross, as for example when the insulation in an old outlet wears away, allowing wires to touch each other. People sometimes use the term "short" to refer to any problem with an electrical system, regardless as to whether or not it is a true electrical short.


Electrical shorts are very serious problems. The high rate of current results in the generation of heat, which can cause sparks or a fire. An electrical short often generates a distinctive popping noise when the circuit is activated, as the electricity follows the new connection it has discovered and the circuit is suddenly overloaded with energy. Smoke or flames may appear, and the short can be strong enough to melt insulation on electrical wiring, or to cause damage to the circuit itself

 
Ni kweli mkuu watu wanapenda kujadili watu na kuwadharau kabla hata hujamjua. Mfano mzuri ni humu JF mtu anakurupuka anakuita kilaza hujasoma wakati hata hajui wewe ni nani, inatia hasira sana!

Kama mawazo yako mgando wakuiteje? Tena hata kilaza naona zuri. Mbulula kabisa
 
Kama mawazo yako mgando wakuiteje? Tena hata kilaza naona zuri. Mbulula kabisa

Ha ha haa. ulivyokurupuka na thread ya zamani utafikiri ulikuwa jela! Kweli wewe unaliwa t.i.g.o!. Eti Mbulula umejaa matusi utafikiri umezaliwa chooni!:bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:
 
Back
Top Bottom