Naomba mnijuze CV ya ADEN RAGE

cv yake imefanyaje kwani! kuwa mbunge jmt kikubwa ni uwe darasa la saba, ujue kusoma na kuandika, ukubalike
period.....
 
Ili iwe nini ? Kwa kuwa kawaponda saccos yenu

aden ni mtu wa ovyo tu hana usafi wa kuwaponda ukawa . kama mtu anaiba mpaka fedha za rambirambi za mafisango sasa huyo ni mtu wa maana katika jamii . Hakuna sehemu ambayo rage amekuwa kiongozi ameondoka bila kashfa.
 
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
clip_image001.gif
First Name:
Ismail
Middle Name:
Aden
Last Name:
Rage
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Tabora Mjini
Political Party:
CCM
Office Location:
Box 84, Tabora
Office Phone:
+255 784 261761/+255 655 000891
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
irage@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
3 January 1953

EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Town Primary School
Primary Education
1961
1964
PRIMARY
Mihayo Primary School
Primary Education
1965
1965
PRIMARY
Urambo Extended Primary School
Primary Education
1966
1967
PRIMARY
Uyui Secondary School
O-Level Education
1968
1971
SECONDARY
College of Business Shinyanga
Accountancy
1972
1973
CERTIFICATE

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Tabora Town Constituency
2010
2015
Private Sector
Director
1986
2010
The Capital Development Authority (CDA), Dar Es Salaam
Director
1977
1985
East African Airways
Assistant Accountant
1974
1976

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
2004
Todate

Ila katika CV hii toka office ya bunge mengi ni uwongo kama kuajiliwa CDA hakuwa Director elimu yake haimwezeshi kuwa Director balim katika shirika hilo alikuwa ni CLEARING AND FORWARDING CRACK .Kuchukua vitu bandarini na kuvipeleka CDA DODOMA

Pia katika CV hii toka bungeni imeficha mengi mfano kufukuzwa kazi CDA na Rais Nyerere kutokana na wizi wa furniture toka Zimbabwe kwenda Chamwino Ikulu.

Pia imeficha alivyofungwa kwa wizi wa Mpira ya fifa kwa wakati huo FAT akiwa ni katibu mkuu wa shirika hilo na kuachiwa kwa msamaha wa rais na baadae kushinda kwa rufaa.

Pia CV toka ofisi ya bunge imeficha Rage Kukatwa jina baada ya kuongoza kura za maoni jimbo la Tabora mjini mwaka 1995 baada ya TAKURU wakati huo kumhisi alitoa mlungula kwa wajumbe akitumia randrover 109

CV ya Rage toka bungeni imeficha alivyokula pesa za yanga toka CAF baada ya timu hiyo kufuzu nane bora
 
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation Honourable
Member picture
clip_image001.gif
First Name: Ismail
Middle Name: Aden
Last Name: Rage
Member Type: Constituency Member
Constituent: Tabora Mjini
Political Party: CCM
Office Location: Box 84, Tabora
Office Phone: +255 784 261761/+255 655 000891
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: irage@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 3 January 1953

EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Town Primary School
Primary Education
1961
1964
PRIMARY
Mihayo Primary School
Primary Education
1965
1965
PRIMARY
Urambo Extended Primary School
Primary Education
1966
1967
PRIMARY
Uyui Secondary School
O-Level Education
1968
1971
SECONDARY
College of Business Shinyanga
Accountancy
1972
1973
CERTIFICATE

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania Member - Tabora Town Constituency
2010
2015
Private Sector Director
1986
2010
The Capital Development Authority (CDA), Dar Es Salaam Director
1977
1985
East African Airways Assistant Accountant
1974
1976

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
2004
Todate

Ila katika CV hii toka office ya bunge mengi ni uwongo kama kuajiliwa CDA hakuwa Director elimu yake haimwezeshi kuwa Director bali katika shirika hilo alikuwa ni CLEARING AND FORWARDING CRACK .Kuchukua vitu bandarini na kuvipeleka CDA DODOMA

Pia katika CV hii toka bungeni imeficha mengi mfano kufukuzwa kazi CDA na Rais Nyerere kutokana na wizi wa furniture toka Zimbabwe kwenda Chamwino Ikulu.

Pia imeficha alivyofungwa kwa wizi wa Mpira ya fifa kwa wakati huo FAT akiwa ni katibu mkuu wa shirika hilo na kuachiwa kwa msamaha wa rais na baadae kushinda kwa rufaa.

Pia CV toka ofisi ya bunge imeficha Rage Kukatwa jina baada ya kuongoza kura za maoni jimbo la Tabora mjini mwaka 1995 baada ya TAKURU wakati huo kumhisi alitoa mlungula kwa wajumbe akitumia randrover 109

CV ya Rage toka bungeni imeficha alivyokula pesa za yanga toka CAF baada ya timu hiyo kufuzu nane bora

Pia katika CV toka office ya bunge halipo suala la kula fadha za rambirambi za Mafisango kwani alikula feadha hizo teyeri CV yake ilikuwa imeandikwa bungeni ilikuwa siyo laisi kubadilisha pia kula hele za usajili wa Okwi na
 
kwa jinsi anavyorudia Mara kwa Mara kwamba yeye ni MWANASHERIA nikajua ni lawyer

kumbe kushinda rufaa TFF na CAF akajivika 'u-learned brother'
 
Back
Top Bottom