Naomba mawazo

Buyaga MUSHO

New Member
Sep 20, 2012
1
0
Je wanazuoni wenzangu ebu nisaidie mawazo,elimu yetu watanzania ni utatuzi wa matatizo tuliyonayo wote au ni utatuzi wa mtu mojamoja?
 
wewe kama wewe ulishatatua tatizo lipi kwa kutumia hiyo elimu yako ulionayo..
 
Je wanazuoni wenzangu ebu nisaidie mawazo,elimu yetu watanzania ni utatuzi wa matatizo tuliyonayo wote au ni utatuzi wa mtu mojamoja?

hata ingekua ya kutatua matatzo ya jamii nzma(tuliyonayo wote) bt huwez wafkia wote, kfup elimu imegeuka kua siraha ya utatuz wa matatzo ya m2 bnafc.
 
Back
Top Bottom