Nashindwa kupata AVN, nifanyeje?

Burapaa

Member
Feb 24, 2023
18
16
Nina shida kwenye status ya Nacte ambapo inasoma “Technician certificate” Yaan diploma one, Nilifanya mpango nikafika kweny ofisi zao wakaniambia tatizo ni kwenye semister one ambayo ipo pending kuna masomo mawili ambayo nilifeli wakaniambia nirudi chuoni matokeo ambayo ni tofauti na yanayosomeka kwenye account yangu ya chuo.

Chuon wakaangalia wakaniambia ni kweli walikosea kuyaprocess matokeo, Chuo kimechukua tu details zangu wameniambia nisubiri baada ya wiki mbili.... Nashindwa sijui hat nifanyeje maana dirisha la vyuo linafungwa hivi karibuni. Nilikuwa naomba kama kuna mtu mwenye mbadala au utatuzi anisaidie.
 
Back
Top Bottom