tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
Hivi kati ya R.A.M na PROCESSOR ni kipi kinachoifanya computer iwe na speed?.Nauliza hivi kwa sababu nina laptop yangu Pentium 3 ina RAM 64MB na PROCESSOR 615 Mhz yaani inachukua muda mrefu kweli ku-access data.JE,nibadilishe RAM au PROCESSOR?