Naomba kuuliza

Hili jukwaa kweli limevamiwa na vilaza wengi,ujue mtu anapouliza anahitaji jibu la kueleweka na siyo kuchangia ili mradi uonekane kuwa umechangia.KUNA WACHANGIAJI WENGINE KWELI WANAJUA HASA MAMBO YA SCIENCE,TECHNOLOGY na GADGET ila wengine mh! Habule chinu
 
duh mkuu ungetuwekea picha angalu utukumbushe tulipotokea.
from pent 3 to i7 kweli tech inaenda mbele
Hongera kwa matunzo usibadili chochote kudumisha historia.
 
Hivi kati ya R.A.M na PROCESSOR ni kipi kinachoifanya computer iwe na speed?.Nauliza hivi kwa sababu nina laptop yangu Pentium 3 ina RAM 64MB na PROCESSOR 615 Mhz yaani inachukua muda mrefu kweli ku-access data.JE,nibadilishe RAM au PROCESSOR?
Mkuu kama una watoto wapatie hiyo wakachezee. Wafunge kamba na kuburuza gari, si computer hiyo!!
 
Back
Top Bottom