Naomba kurudishiwa 12,500/= zangu, kazi ya kujenga miundombinu ni ya serikali

Wahenga bana eti" Kiendacho kwa mganga hakirudi" dah wale wazee wetu sijui ata waliwaza nini.
 
Hv lengo la kuwa na mchangishaji maalum mlijua ni nn? Ilikua kuepuka hela kupgwa na wengi na badae ziwe located na matumiz ya serikali,

Jaman tuliipenda wenyeweeeeeeeeeee!

Chaguo letu wenyeweeeeeeeeeee!

Acha tuisome nambaaa eeeeeeeeeee!

Ccm mbele kwa mbeleeeeeeeeeeeeee!
 
Una uhakika 12500 ilifika?maana hela iliyopokelewa n bil 5.7 ambayo n saw a na hela waliotoa ubaloz was british bil 6 baada ya kutolewa na kukatwa makato zmefika bill 5.7
Na was was hela yako haikufika
Mkuu naomba ufafanuz wa ayo makato pliz.
 
Serikali imefanya vibaya jamani. Maana wengi waliochanga hela zao waliingiwa na huruma ya kibinadamu kwa kuona binadamu wenzao wanalala nje , huku wakinyeshewa. Sidhani kama watu waliiigiwa na huruma ya kuchanga kwa kuona taasisi ya serikali imeharibiwa.

Hata hao waliotuchangia sijui kama watapata tena moyo huo endapo litatokea janga . Bilioni 5 zinajenga taasisi zipi zilizovunjwa na tetemeko??

Ila tujifunze kwenye hili swala. Ni bora wakasaidiwa wahanga pasipo kupitia serikalini. Na hata ikiwezekana wapewe msaada mkono kwa mkono. Inasikitisha kwa kweli....
 
Hii serikali sikivu ndo kusema imeamua kufanya kazi yake kupitia clouds TV?? TBC imeshindwa kutekeleza wajibu wake? Si waibinafsishe tu??? Au na yenyewe inasubiria kuhamia Dodoma??

Ama kweli hii ni serikali ya matukio!!
Tulisha acha kuangalia ayo matbc tunaona sikuiz wametufata clauds sasa tutaamia BBC
 
Kuna haja ya kupigania TanExit. Huyu raisi awe raisi wa watu wa kanda ya ziwa na Chato
 
Salam,

Naomba msaada wa namna ya kurudishiwa hela yangu niliyochanga ili kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi bukoba. Hela hiyo nilichanga kwa njia ya simu Kiwango kikiwa 12,500.

Niweke wazi kuwa nilichangia kwa ajili ya kutoa misaada ya kibinadamu kwa wenzetu waliopata madhara kutokana na tetemeko Hilo. Sasa leo hii ninapoambiwa kuwa imekwenda kwenye miundombinu, na Wakati huohuo ninakatwa kodi, je kodi hiyo inafanya kazi gani???

Leo kupitia clouds tv, msemaji wa serikali amesema serikali haikuwahi kuahidi kuwa itawajengea wahanga nyumba. Na ameendelea kwa kusema mengine Mengi tu....

Naomba hela yangu asee, na sichangii tena maafa.
TUMA NAMBA ULIYOTUMIA KUTUMA, ILI TUKUREJESHEE PESA YAKO....
 
Huyo msemàji wa serikali mpuuzi na rofa. Atwambie kwanini serikali ilitoa tangazo la kitapeli, kwanini iwe kuchangia waathirika .."waathirika" maana yake ni nini katika lile tangazo? OK, serikali hqikusema kujengea wahanga basi tunaomba turudishiwe pesa yetu make sie tulichanga kuwasaidia "waathirika" ambao maana ya neno hilo inapatikana kwenye kamusi nzuri ya TUKI
 
Yule mama wa Haki za Binadamu bado yupo? Kuna haki inanyanyaswa hapa kwenye hii issue ya maafa. Njoo mama usemeseme angalau week moja hivi labda wataona aibu ....

dr korosho alisema hajaribiwi. hv wewe unajua lema alipo. unataka yule mama amfuate??
 
Mkuu, punguza jazba... Tudai haki yetu kwa njia za Amani kwanza.... Hayo mengine yatakuja tu.
 
Back
Top Bottom