Naomba kujuzwa vipimo vya kutengeneza kashata

scot mcomic

JF-Expert Member
Apr 17, 2021
225
369
Wakuu habarini za weekend niende Moja Kwa Moja kwenye mada tajwa naomba kujuzwa vipimo vya kutengeneza kashata yaan kuanzia karanga nusu na kuendelea kuanzia sukar na maji kias gan asanten sana na weekend njema
 
Back
Top Bottom