Naomba kujuzwa!;ni kweli wanawake wanafurahia zaidi wafanyapo mapenzi kuliko wanaume? 75% by 25%?

Si kweli mwanamme anasikia raha pale anapomwaga tu nakataa ndio maana wanaume wengi wanatafuta dawa ya kuchelewa kufika kileleni lengo ni kuinjoi zaidi na kuweza kumkuna mweza hadi kummaliza muwasho mpenzi wake! Huo upande wa pili siwezi jibu coz sijui.

mkuu upo sawa kabisa nakubariana nawewe ingekua mwanaume anasikia raha 2 wakati wakumwaga bas 2singekua sisi wanaume 2natafuta dawa yakuchelewa kumwaga
 
mkuu upo sawa kabisa nakubariana nawewe ingekua mwanaume anasikia raha 2 wakati wakumwaga bas 2singekua sisi wanaume 2natafuta dawa yakuchelewa kumwaga

Kuna baadhi ya wanawake huwa wanachelewa kufika kilele, kwa hiyo huwa wanapenda mwanaume anaye-last long kwenye mchezo. Hii ni sababu mojawapo inayowafanya wanaume kutafuta dawa ya kuchelewa. Hii ni kwa mujibu wa wanawake wenyewe. Na wengi wa wanawake hao wanasema ni moja ya sababu ya wao kwenda nje ya ndoa.
 
Kuna baadhi ya wanawake huwa wanachelewa kufika kilele, kwa hiyo huwa wanapenda mwanaume anaye-last long kwenye mchezo. Hii ni sababu mojawapo inayowafanya wanaume kutafuta dawa ya kuchelewa. Hii ni kwa mujibu wa wanawake wenyewe. Na wengi wa wanawake hao wanasema ni moja ya sababu ya wao kwenda nje ya ndoa.

Mwanamke anayeenda nje ya ndoa coz afikishi huyo ni muongo tu ana pepo la ngono......Wanawake wa ukweli ni wagumu sana kutoka nje ya ndoa
 
Utamu wa vanila eee utamu ... Ukiupapasa utamu..!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna utafiti ulifanyika na watalaamu wa kunanino kwa kuchukua video za walio ndani ya ndoa ambao walikubali kutumika katika utafiti huo na wengine ambao walikuwa ni wapenzi tu. Kisha washiriki wote katika utafiti huo wakaulizwa maswali mbali kuelezea wanavyojisikia wakati wa kunanino na hadi wanapowasili kule kwenye kituo cha maraha ya kunanino. Wakati wa kuchukua hizo video waliangalia reaction ya nyuso za wahusika wa kike na wa kiume.

Pia waligusia uwezo wa baadhi ya wanawake ambao wanaweza kufika kileleni hata kwa sekund 90 kwa kile kinachojulikana kama multiple orgasm kitu ambacho kwa wanaume hakiwezekani.

Baada ya yote hayo hao wataalam wa mambo ya kunanino walihitimisha kwamba Wanawake wanaenjoy zaidi wakati wa kunanino kuliko Wanaume. Kulikuwa na kipindi cha masaa mawili kwenye channel moja TLC (The learning channel) ambacho nilikiangalia tangu mwanzo hadi mwisho ambacho ndicho kilinifungua macho kwenye hili swali lako.
 
Hivi unapojikuna sikioni, nini kinapata raha? SIKIO au KIDOLE

lol
nadhani dhana ya mkunaji na mkunwa tubadili namna ya kuiangalia, sababu kimaumbile kila mmoja anakuwa mkunaji na mkunwa.
Hivi mwanaume anapopiga "nyeto" si anakuwa anajikuna mwenyewe? So kumbe mwanaume naye huwa anahitaji wa kumkuna, umeona!
Hivyo kwenye tendo la ngono wote kila mmoja ni mkunaji wa mwenzie na wakati huo huo kila mmoja anakunwa na mwenzie.
Pia kwa sababu za kibaiolojia inawezekana kukawa na tofauti ya kiwango cha hisia za kuridhika kama utalinganisha jinsia hzo tofauti kama alivyosema BAK hapo juu.
 
Wote wanasikia raha sawa sawa (50% by 50 %); ila wanaume wanasukumwa kwenda kwenye tendo la ngono na hamu pamoja na matamanio wakati wanawake wanasukumwa na wajibu, hamu pamoja na kulinda heshima ya penzi.


Mtoto kalala.jpg
 
Back
Top Bottom